Recent content by Imbaseni

  1. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Si bora huyo mwalimu hata bank anakopa si wewe unaenda kukopa kausha damu
  2. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Tuwataje Madereva wa Mabasi wanaobet kwa kuendesha magari ovyo ili wawahi kufika Stendi wapewe 100,000

    Bora kuwaweka wazi matajiri wao wafahamu,zinazobebwa ni roho,sio magunia ya viazi
  3. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Mimi nilienda stationary moja hapa Arusha chap nikapewa ila unalipa ten.Kaulizie stationary yeyote kama wana huduma hiyo
  4. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye huduma ya songesha kutoka Vodacom

    Bora wewe afutatu wengine sisi haijawahi vuka1800 mpaka nimejitoa
  5. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya kuchakata matokeo

    Naomba mnitumie huo mfumo
  6. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya kuchakata matokeo

    Hongera sana mnaweza kunitumia?
  7. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno wanayotumia watu wa Arusha

    Shilingi elfu moja-shale Shilingi elfu 30-taresitini
  8. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Saa ngapi unaendelea
  9. Imbaseni

    JamiiForums Tanzania HEDGE WITCH: Uchawi usiopendwa zaidi duniani

    Hizo movies za hurry Potter nitajie jina la filamu nikazitafute
Back
Top Bottom