Recent content by Imany John

  1. Imany John

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Rais wa El Salvador ameweza kuushinda uharifu hatari kwa muda mfupi ila nchi kama Mexico inachechemea?

    washika cherehani si wamadawa,kuua au kubaka, hao hawapewi cherehan,wanaadhabu zao maalum.
  2. Imany John

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    kamuwakilishe.
  3. Imany John

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Maria ni mtoto,katika mambo ya misiba mara nyingi wenye sauti ni wazazi wa marehemu(kama wapo),watu waliozaliwa na marehemu tumb moja,watoto huwa ni kupewa tu taarifa tu juu ya mambo fulani fulani.
  4. Imany John

    JamiiForums Tanzania Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

    the man is free,enjoying life in Dubai
  5. Imany John

    JamiiForums Tanzania Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

    Nimefurahi sana kuona hii post, dsm ndio jiko la wacheza draft tz,sisko memjulia chabela dom.wanajua sana hawa wachezaj wa dsm
  6. Imany John

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Atengeneza Mfumo wa Kidigitali wa Wenyeviti wa Mitaa Kuwasilisha Kero za Wananchi

    kwanza tu muelekeze aliye kutuma kuwa kero za barua na alizoelezwa kwa mdomo zimemshinda za digital ataziweza wapi? Nimekaa mtaa wa hospital ya dcmc kwa takribani miaka mitatu,umbali wa km 5 toka mjini,mtaa wetu unatanki linalopeleka maji UDOM ila sisi maji hatuna.Na wote wanajua changamoto ya...
  7. Imany John

    JamiiForums Tanzania Wanawake wazuri na wenye makalio makubwa wamekua daraja la kuangamiza taasisi ya ndoa

    Mimi ni mpenzi wa wanawake wembamba.Wanene watajijua wenyewe.
  8. Imany John

    JamiiForums Tanzania DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

    DP wamepewa bandari mbili uingereza kati ya bandari 120,pia kule kampuni zingine zinapiga mzigo,hapa ni yeye tu bandari zote mpaka za maji baridi.
  9. Imany John

    JamiiForums Tanzania Musiba anapaswa kumuomba msamaha Membe

    Kwani mpo dunia gani?Msamaha gani mnaotaka aombe wakati alikataa mara tatu kuomba msamaha?Kwani hamkumuona akikataa kuomba radhi? Huyu abebe hukumu ya mahakama kwa upendo na ukarimu mkubwa.
  10. Imany John

    JamiiForums Tanzania Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    kubwa ukilinganisha ni kitu gani?bajeti aliyoitenga Kamugisha ulikuwa unaijua?
  11. Imany John

    JamiiForums Tanzania Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    ndio boss.uzito wa noti 60 za elfu kumi za ktz zile mpya.
  12. Imany John

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

    Wazalendo tungeungana kuhamasisha ATCL na serikali walipe madeni ya watu kupunguza kamatakamata ya mali za nchi yetu.
Back
Top Bottom