Huna haja ya kulia lia wote hao Uturuki na UAE na Israel mwenyewe baba yao ni mmoja Amerika, kwaio Ushetani wote Amerika ameupa taa ya kijani.
Hata Pakistan na India baba yao ni mmoja America
Hizo ni dhahabu za Congo, Sudan West Africa, pembe za ndovu zenu kule Ngorongoro, makaa ya mawe yenu undisclosed profit za bandari zenu. UAE akifa 50% matatizo ya ulimwengu yataisha hadi Climate changes akifa Israel 99% Kukiwa na America first ya ukweli 100% matatizo ya dunia yanaisha
mbona huwataji Kina George Bush wite wawili, humtaji Joe Biden, humtaji Obama humtaji Trump mwenyeqe humtaji Truman, Nixon, King Leopold, au umewasahau mkuu?
kuna matango mengi umemeza usimsahau na Netanyahu mkuu.
sasa si nayeye angechagua wanafunzi 1000 wakasome engineering, technology na hizo mambo anazozitaka yeye pesa si ipo, anaumia nini sasa kwani gvt ndio inawfund hao sharia students?
nilichogundua hapa kun huyu bwana @echolimal yani ni mbumbumbu kweli kweli badala ajibu hoja analeta maswala ya udini, kashfa zisizo na ushahidi, lawama na kejeli.
Hajui missile convention, inertia motion, FPVs, missile Interception, maneuver hata military strategy yoyote. Yeye achojibu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.