Recent content by ImalaMakoye

  1. I

    Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri

    Jaji masati amefanya kile kilichopo kwenye taratibu na kanuni za kisheria,wasiwasi wangu ni hao wanasheria wa serikali.
  2. I

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Jamani hiyo kazi anayoifanya Sitta ni ya chama cha mapinduzi,kama tunavyosema ufisadi tunaupinga wote bila kujali chama. Mzee Sitta kaza buti tuko pamoja katika kujenga chama kipya kisichokuwa na mafisadi.
  3. I

    helloJF members

    Siyo hukujua mapema kaka,wakati ukifika ndo umefika,kila jambo na wakati wake.
  4. I

    Mvuta bangi matatani !!!

    Wewe kweli ni mwiba,tamtafuta aliekubatiza hilo jina,uislam na bangi wapi na wapi?
Back
Top Bottom