Nimesoma mpaka mwisho wa hiyo post yako, sijaona kama amechochea kitu hapo , yuko sahihi kwa asilimia zote cha mhimu ni kwamba ukweli una maumivu yake. Kwa huu mtindo wa BMW (Baba Mama Watoto) unafikri utawazuia hata viongozi wa kiroho wasiseme ukweli?
Mungu akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetu?. Sio tu kwamba CCM imechokwa na watu bali hata Mungu ameichoka na ameandaa njia nyingine ya kuleta ukombozi kwa Watanzania kupitia CDM, kwa wa wakristo kama mie mtakubaliana na mie kuwa hata enzi za Agano la kale Mungu alimukataa Sauli...
Aisee inasikitisha sana! huo ulikuwa ni usiku wa mateso makali kwa Dr Ulimboka, ninaamini damu yako na mateso yako Dr si bule Mungu atajilipizia kisasi kwa hao waliofanya unyama huo bila hata na chembe ya huruma!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.