Recent content by I'm joseee

  1. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini akosoa kufutwa kwa mikutano ya kisiasa

    Marekani inafuatlia vitu vya msingi na maslahi yake vijimikutano vya bongo hawana habari navyo
  2. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kuonja neema za Udikteta unaosemwa

    Wapinzani wa nji hii bana mie siwaelewi walisema watoto wanakaa chini madawati yamepatikana wanaanza kusema tusubiri matokeo, walisema madarasa madarasa yalijengwa wakasema hayana wanafunzi na walimu. Hivi mbona hamueleweki mpo upande upi? Mala sukari, bungelive, Naibu spika, mala udikteta,mala...
  3. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

    Huyu ndiye Raisi tuliekuwa tunamtaka si legelege wala dhaifu mambo ya kunukuu vitabu hayatuhusu vitatupoteza
  4. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata ugeni wa Wafanyabiashara

    Siku hizi siyo yeye anawatembelea kumwaga mapesa?
  5. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Kama wewe ni jambazi wacha kabisa
  6. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Gwajima amwaga cheche, amshauri Rais Magufuli ahame chama kama CCM wakimnyima Uenyekiti wa chama

    Mie ninashida na hawa wanajiita wachungaji,ni wachunga ngombe au wanachunga nini cjui
  7. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, lini utaacha kuwadanganya wananchi?

    Uhuru wa kuongea ni shiida mbunge mmoja tu eti chama cha upinzani mwe[emoji1][emoji1]
  8. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Wabunge UKAWA, ni wabunge HEWA

    Ukiona wanaitwa mawaziri vivuli sijui maanake ni hewa
  9. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Nchi imewekwa mfukoni na mhindi

    Cha Arusha ni noma bungeni watu wapimwe vilevi
  10. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

    Magu piga kimya kama vile ile ya Zanzibar hawa wapinzani wa tanzania ni wasanii tumewazoea
  11. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Magufuli kufungua Majengo ya NSSF na PPF jijini Arusha

    Watu kama hawa inawezekana malezi yao ni ya kihuni tu ndo maana hana adabu kwa wateule wake
  12. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania CCM Ipo Njia Panda - Haina Jinsi zaidi ya kuitumia Kete Ya Dr. Magufuli

    Kwani Magufuri ni ukawa ? Maana mnajipa moyo kwamba Magu sio Chama kubwa mtasubiri sana
  13. I'm joseee

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Hilo ndo bunge movie bana dairy vituko
Back
Top Bottom