Recent content by Ilole

  1. Ilole

    Natafuta rafiki

    Mmmmmm!
  2. Ilole

    Naombeni kazi

    Home wananiita useless kisa sina kazi, sina pesa, sina mbele wala nyuma, katika maisha yangu sijawai kupata nafasi yoyote ile ya kazi, nimesomea Clearing and Forwarding C&F, zaidi ya hiyo sina ujuzi wowote ule ila najifunza haraka, naombeni kazi yoyote kwa mwezi wa kwanza nipo radhi nifanye...
  3. Ilole

    Tunatafuta mtu wa ku update websites , facebook, instagram,twitter

    Leta website hizo mm sina kazi daily nipo net
  4. Ilole

    Banks in Tanzania

    Habari JF, Nahitaji kufungua account ya benk ambayo ina huduma nzuri, ya kuaminika, na inayoweza kupokea na kutuma pesa nje ya nchi bila usumbufu na makato makubwa. Naombeni mnijuze na sh ngapi kufungua, asanten
  5. Ilole

    Wanawatapeli wanaotafuta kazi

    Dah! Mm nmesha lizwa
  6. Ilole

    Natafuta kazi ya Cargo Clearing and Forwarding

    Natafuta kazi ya clearing and forwarding, au kazi nyingine yoyote kwa muda huu nmechoka kukaa nyumban 0712196525
  7. Ilole

    Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

    Kuchapwa atachapwa tu, chamsingi ww piga kimya utakacho kikuta
  8. Ilole

    Unataka Mtaji Au PESA ya kujikimu?

    Basi hapa ndipo mahali unapotakiwa kuingia link FixMonthlyPaid.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
  9. Ilole

    Natafuta Ajira yoyote ile, Isiwe tu yakudhalilishana

    Ndugu wapendwa baada ya kumaliza form 4 na kufeli nilijiunga na chuo kidogo cha equator institute na kuchukua course ya clearing and cargo forwarding, ila sipati ajira aliye nishauri nikasomee hiyo kanikimbia, kwahiyo nahitaji ajira ya muda.
  10. Ilole

    Njemba na kivulana chumbani Wakutwa Chumbani

    Jamaa anamwili wakibabe kabisa alafu anafanya ushenzi wa aina hii
  11. Ilole

    Clearing and Forwarding Field

    Habari zenu wakubwa naombeni msaada natafuta field ya clearing and cargo forward
Back
Top Bottom