Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Umepata nyota ya jahaa..~!!jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma, mahusiano etc. awe above 30 na asiwe mwanafunzi wa chuo. lengo langu hasa ni kushare life experiences ndo maana nahitaji mtu anayejitambua.
MUHIMU; mambo ya kutongozana sitaki kabisa. nahitaji rafiki sio mpenzi.
Ntakusaidi kwa hali na mali bila malipo, uzoefu wa hapa nchini na umbali usio na mipaka (borderless) horizon !!