Recent content by ILLUNGU

  1. I

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya ugonjwa wa ndui wa kuku

    Naomba kujuzwa dawa nzuri ya asili ya ndui kwa vifaranga maana vifaranga vyangu vimefariki
  2. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kufuga kuku wa kienyeji na wa kisasa ktk eneo / kiwanja kimoja.

    Nataka kufuga kuku wa kisasa wa nyama wakati huo nafuga kuku wa kienyeji, je inawezekana?, hakuna magonjwa ya kuambukizana, wazoefu na wataalam naomba mwongozo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hapa kazi tu, mh. Rais ktk kampeini za uchaguzi alihaidi kumaliza kero za watumishi hasa madai ya muda mrefu, naomba wizara husika na halmashauri husika zitatue kero hii.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Chanjo na dawa za kuzuia vifo vya vifaranga wa kuku wa kienyeji

    Naomba mnijuze jinsi ya kuzuia magonjwa ya vifaranga wa kuku wa kienyeji maana kila nikifuga vifaranga wanapata vidonda kuzunguka macho na vinakufa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji USB original ya external disk ya Toshiba, 1000 GB

    Nipo dsm, naomba mnijulishe usb original ya external disk toshiba 1000 gb nitaipata wapi
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ya awamu ya 5 ikumbuke madai ya watumishi wa umma

    Ndg. Mugajwale, nimekupata, naomba wadau mnipe utaratibu wa kuhama idara / kada ya utumishi, mf. dokta kuwa mwalimu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mafuta na sabuni kwa ngozi yenye mafuta mengi (oily skin)

    Watu wengi wana chunusi na ngozi zenye mafuta mengi, naomba kujua tiba.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Njia ya kungarisha meno ili yawe meupe

    Naomba mnielimishe jinsi ya kungarisha meno yawe meupe kabisa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ya awamu ya 5 ikumbuke madai ya watumishi wa umma

    Nampongeza RAIS dkt. Magufuli, naomba aanze na kilio cha watumishi ambao wanadai malimbikizo ya mishahara.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Zandu ni dawa nzuri ya maleria, dsm fika kariakoo posta uliza duka la dawa za kisuna la Abdulswamad,
  11. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    SHUKRANI SANA wana JF, michango yenu ni tiba tosha. Zandu ni dawa nzuri imenisaidia kwa miaka 7 lkn sasa imedunda
  12. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    SHUKRANI, kuna dawa nyingine ya maleria ya mitishamba zaidi ya /mbadala ya ZANDU?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Dawa ya asili ya maleria ya ZANDU inapatikana eneo la posta kariakoo ktk duka la dawa za kisuna la Abdulswamad.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kukazia hukumu kwenye Baraza la Ardihi la Wilaya

    Mawakili na wanasheria, naomba mtujuze jinsi ya kukazia hukumu ya ward tribunal ktk dhlt
  15. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Wataalam, hivi hakuna dawa ya mitishamba au hospitali ya kuzuia mtu asiambukizwe maleria?
Back
Top Bottom