Uwiiii jamani naskia kulia aaaah[emoji24][emoji24][emoji24].. hasira zinanipanda hivi vote of no confidence c inaeza kupigwa. Wanaogopa nn jamani mbona nchi inaendeshwa kwa wazim lakini. Mara wanafunzi wafanye mtihani cjui wa usability mara cjui paspoti oooh Mara nn.. eeh Mungu embu tuondolee...
Hopeless kabisa.. mtu anadiriki hata kukamata wana nchi kisa wanamkosoa jamani!? Hivi mlikua hamjaelewa tu [emoji23][emoji23][emoji23].. daaah miaka 3 sjawahi iona mingi hivi. Nikikumbuka nilivopiga kura roho inauma.. yani bora nisingepiga atleast nisingekua na maumivu haya
Mambo ya miaka ya sabini yaachwe huko huko miaka ya sabini.. saivi tupo 2017 watu ni tofauti, jamii tofauti plus ppo are much informed sku hzi kila mtu anajua haki yake na kama kakiuka sheria pia rest assured anajua. Sasa mambo ya kina nyerere sjui oooh kituo cha polisi kiheshimu oooh cjui nn ss...
Saivi kuimba na kufuta gari ni kosa la kisheria. Eti kwa sababu vimefanyika mbele ya kituo cha polisi. Watu hata hawajavunja amani wakamatwe [emoji23][emoji23][emoji23]. Passport nazo waeke vizuizi eti kila mtu akiwa nayo ndo chanzo cha safari za kubeba unga hivi jamani kweli passport nayo iwe...
Kwamba tutafungwa au[emoji23][emoji23][emoji23]... au atatuombea novena [emoji57][emoji13].. tutamtaja vizuri mi binafsi siogopi kumtaja pengo. Si hivi Pengo pengo pengo pengo pengo[emoji38][emoji57]
Kwani pengo ndo nani asitajwe jina?! Watu wanatumia jina la Yesu kwa matani mzaha na kebehi sembuse pengo?! Nini nyinyi bwana.. as long as ametoa mfano tu hajakosea chochote yani ameeka msstzo ndo maana [emoji57][emoji57].. pengoo pengo.. Eti hatari[emoji13]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.