illestEl
Member
- Feb 6, 2017
- 53
- 41
Hello jamani..
Naomba ushauri wa mawazo. Mm nataka kuanza chuo lakini am struggling a bit kwa sababu napenda Kuwa innovative na mbunifu sana na nahisi nikisomea mambo ya designing architecture ndo roho yangu inapenda na pia I see myself doing so many things.
Lakini nimesoma science classes madarasa yote na wazazi wangu wanajua nataka kusomea petroleum engineering kwa sababu soko la ajira lipo wazi. confused