Recent content by Ilembula.

  1. I

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP Folio 9470M, Dodoma Mjini

    Mzigo bado upo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP Folio 9470M, Dodoma Mjini

    Habari Wakuu, Nauza laptop yangu sio dalali. Hp,Core i5, Intel(R) Core (TM) i5 Family Processor 4th Generation Laptop 4GB installed RAM. Processing Frequency of 2.40GHz X 2.3GHz. 4CPU's (Core Processing Units) 500GB of HDD STORAGE. Backlight keyboard Bluetooth & webcam Original Hp folio...
  3. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Profesa Jahazi amefariki dunia

    Jina lake kamili ni nani?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

    Nimekula za uso, Najionea mawenge tu hapa.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

    Asante mkuu, ngoja niende huko.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

    Duuh!! Mkuu hii ripoti ya makinia ya kingereza inapatikana wapi......kama unayo naomba utuwekee hapa samahani lakini kwa usumbufu.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

    Mkuu hii ni baada ya kugoogle, ila ukiwa mle ndani unaona nyota.......huyo Mkurugenzi wa SSRA nilikuwa nakumbuka ni mwanamke ila jina lake sasa kulikumbuka ndio utata.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

    Juice kwa Kiswahili........ Makinikia kwa Kingereza....... Jina kamili la Mkurugenzi mkuu wa SSRA...... Njia ya reli iliyozinduliwa huko Kenya hivi karibuni inaitwaje..............?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa Mchujo PPF uliofanyika DUCE 28-Aug

    PPF Mungu anawaona na maswali yenu ya interview............
  10. I

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama asoma shule ya msingi na wanaye watatu

    ilipigwa marufuku na nani?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Escrow: Mnikulu Shabani Gurumo atimuliwa Ikulu

    Mbona wamechelewa sana...............
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kazi uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura

    Wenye kazi wanaendelea kupata kazi, Kazi ipo..........
  13. I

    JamiiForums Tanzania Tupeane yanayojiri DUCE kwenye usaili wa PPF

    Hao jamaa wanamatatizo, hivi waliitaje hadi watu ambao matokeo yao hajakamilika, halafu mtu katoka mkoani unakuja kumtoa hata usaili wenyewe hajafanya.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti chuo kwa undergraduate

    Hongera mkuu ingekuwa enzi zile ungekuwa na I-6. Ila kwa vyovyote chuo lazima uende ni kuomba Mungu ajalie uzima.
Back
Top Bottom