Recent content by Ilagalailagala

  1. I

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea ahojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge

    Nchi imewashinda ccm
  2. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Siwezi kukubali demokrasia isiginwe

    Mbunge wa jimbo la KIGOMA mjini mh;zitto kabwe aliwahi kusema kwamba yeye binafsi hawezi kuona RAIS anaviza democrasi akakubali kitu hicho hakipo kama yeye atakua hai. Kutoka na na ujasi na ukakamavu wa zitto naomba aungwe mkono na wapende Democrasia nchi ili kuhakikisha zitto anashinda
  3. I

    JamiiForums Tanzania Cheyo Out, Lowassa In?

    Raia mwema acha wapige debe LOWASSA hatishiki kwa maneno
  4. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, lini utaacha kuwadanganya wananchi?

    Mchekeshaji wa mfalme wewe au unatakiwa CHEO? coz zitto anataka kufanya KONGAMANO ni haki ya kisheria na kikatiba sasa MABOM ya nini? Pia zitto ni MBUNGE wa kigoma MJINI buku ukuu!!!! Wewe
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa chuo UDOM, Makamu wa Chuo nashauri wajiuzulu kuokoa hadhi ya Chuo

    Huna unalolijua kuhusu UDOM hivyo basi kaa kimya baku baku
  6. I

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Nani anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, tuone Hapa kazi tu kwa vitendo?

    Sa Sasa anyongwe nani? Unaempendekeza wewe
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hongera ACT wazalendo, CAG amewatambua

    Acha wewe ulitumia kipimo gani kujipima akili? Na kubaini una akili nyingi kuliko mwenzako
  8. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe: A living example of how our politician should be!

    Zittto ruyagwa kabwe ni zaidi ya watu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe: A living example of how our politician should be!

    Zittto hongera Kaka watake wasitake kukukubali ni swala la muhimu na lazima
  10. I

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe: A living example of how our politician should be!

    Zittto ruyagwa kabwe ni zaidi ya watu wanavyo mfikilia jasiri, imara, jeuli, mkakamavu, lakini ni mpole sana hongera sana zzk
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kwa kigezo cha umri huu naweza kujiunga JKT?

    So soma tena alisha fafanua kuna kwa mujibu washeria na kujitolea
  12. I

    JamiiForums Tanzania Haki ya Msingi ya Kusikilizwa kwa Anne Kilango Malecela!

    Al alisikilizwa wapi?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Haki ya Msingi ya Kusikilizwa kwa Anne Kilango Malecela!

    Magu hajitambui huwezi kujidhalilisha mwenyewe kwa kumuacha mchumba uliye muoa kwa mbwembwe na wandishi wa habari kibao leo unamuacha pia kwa mbwembwe yani maana wewe mme ndie mwenye mapungufu makubwa ya ukosefu subira , hekima na uvimilivu mdogo usiangali tu Anayetumbuliwa JIPU pia angalia na...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Dar ndugu Makonda akiombewa Dua na Mufti Mkuu wa Dar!

    MKUU uko sawa Allah bless you always ndugu
Back
Top Bottom