Ilagalailagala
Member
- Mar 13, 2016
- 41
- 16
Mbunge wa jimbo la KIGOMA mjini mh;zitto kabwe aliwahi kusema kwamba yeye binafsi hawezi kuona RAIS anaviza democrasi akakubali kitu hicho hakipo kama yeye atakua hai. Kutoka na na ujasi na ukakamavu wa zitto naomba aungwe mkono na wapende Democrasia nchi ili kuhakikisha zitto anashinda