Recent content by Ikwefi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Makosa ya barabarani na point zake zitakazowekwa kwenye leseni. Kila leseni itakuwa na jumla ya pointi 15

    Subirini mgomo wa madereva wote wa mabasi na malori tar 29,kwa taarifa za chinibya kapeti
  2. I

    JamiiForums Tanzania Bei ya engine 1zz na gear box yake

    Milion 3.5,gear box 1m
  3. I

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani wakuu

    Hii hapa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    "Ametoa",Neno silioendi hili basi yaani. Huu uchawa wa kujikomba sijui utaisha lini Tanzania
  5. I

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)

    Kuna bomba la mafuta la TAZAMA limepasuka maeneo ya Kilungule,hivyo mafuta yanamwagika kuelekea mto Mzinga
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

    Hospitali yenu imekataa sio issue ya kadi yangu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

    Wana bodi,baada ya kuripoti kadi ya NHIF kutopokelewa hospitali za private,hatimaye nimefanya uchunguzi wangu binafsi mbali na hospitali ya IMEC iliyopo manispaa ya Iringa,nikagundua kwamba,sio private zote hazipokei,bali ni hiyo tu moja(IMEC) ambayo hawajatoa sababu za kueleweka kwanini...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Haithamkim amefanyaje?

    Balaa tupu mzee😀😀
  9. I

    JamiiForums Tanzania Haithamkim amefanyaje?

    ok,ok,mi mwenyewe mzamiaji naibia ibia baadhi ya maneno
  10. I

    JamiiForums Tanzania Haithamkim amefanyaje?

    Umanyire Chunu??
  11. I

    JamiiForums Tanzania Show ya Harmonize Yanga Day

    Andikakiswahili fasaha bwana!!Ko=Kwahiyo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Marekani kutumia Jeshi kuzima Maandamano. Je, Mapigo mangapi yamebaki kwa Marekani ili kumuondolea nguvu ya kiuchumi?

    Sio "hila" bali "ila".Kiswahili kinaharibiwa sana siku hizi
Back
Top Bottom