Zito ni Malaya wa kisiasa aliyekomaa. Ni mtu wa kupuzwa kabisa wala asitupotezee mda. Sasa hivi hata akigombea ubunge hawezi kushinda sehemu yoyote. Kaisha kufa kisiasa. Sasa njia yake ya kubaki kusiskika ni kupinga chadema na kujipendekeza kwa raisi ili Chama chake kipewe wabunge wa kuchongwa.
Kwanzaa hakuna kiongozi wa ccm anaye weza kukutana na Wananchi bila kutanguliza bahasha Kwanzaa kwenda kuweka mambo Sawa. Yaani wakitaka kufanya mkutono sehemu ni kama vile ni setting ya movies. Wanaandaa watu wa Kuja kwenye mikutano maswali ya kuuliza wanaandikiwa na kupractice namna ya...
Bashiru na polepole hao wajiandae tu kufaa wakiwa ombaomba maumivu waliyo wapa watanzania kwa miaka mitano na nusu wakiwa kama wapambe wakubwa wa dictators Magufuli hawatapata amani maishani mwao kamwe.
Maombi ya kuuaga mwaka wa 2020 na kuukaribisha mwaka mpya 2021.
E Mungu Muumba mbingu, nchi na maji. Nakushukuru kwa kuwavusha watanzania wezangu salama katika mwaka wa 2020 na kuwakabidhi mwaka mpya wa 2021. Mungu mwaka ulio upita utufundisha mengi sana ila moja kubwa tulilo kubushwa ni...
unajua kitu ambacho ccm wanashindwa kuelewa kutokana na ufinyu wa fikira zao wanafikiri upizani ni viongozi maalufu hawajui kuwa hao viogozi maalufu wamekuwa maalufu kwa sababu ya msimamo wa chama chao wa kupigania haki. hata ukimuchukuwa Mbowe au tundu lissu ukamweka ccm akaanza kuhubili...
hivi mnajuwa hawa wabunge mnaowaona wakiendesha V 8 msifikili wanakitu. mishahara yao inaishia kununuwa mafuta ya kuviendesha.
Mimi nafikiri kuna haja ya kubadili sheria za kugombea ubunge. ubunge hutakiwi kuwa kama ajira. mbunge anatakiwa kufanya ubunge kama Hobbs na sio ajira. kwa Tanzania...
Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru.
Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka...
Magufuli ni mshamba ile mbaya anafikili bado tupo enzi za miaka ya 1970 ambapo aliye kuwa na uwezo wa kuangalia tv alikuwa Nyerere peke yake. yaani hiyo anatengeneza tatizo halafu anakuja kulitatuwa ili aonekane kama superhero. akili ya kitoto kwelikweli. amewatuma watu waandike baruwa...
Magufuli ni takataka hata mke wake na wanaye hawata mpigia kura. hata yeye mwenyewe a ajuwa ila linazimisha tu kwakuwa bado lina mamraka ya kutumia majeshi ila ukweli halina ujaja wala akili ya kutawala hata kijiji.
wapuzi sana ccm wanajitapa kuwa wanakuballika ila wanataka ubunge na udiwani wa viti maalum. waende kwa wananch wawaeleze miaka mitano ya hapa kazi tu wamefanya nini ili wananchi waamuwe kuwaongeza mitano mingine au la.
Vingenevyo kama tume itakubali kuitumbukiiza nchi kwenye machafuko kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.