Recent content by Ikotun

  1. I

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Hali ya Usalama nchini ni Shwari

    Hatari sana
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais sharti awe mwanachama kwa angalau miezi 3?

    List ya wanachama wa chama husika ambapo atakayekuja kuteuliwa atakuwa mmoja wa walio kwenye hiyo orodha
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais sharti awe mwanachama kwa angalau miezi 3?

    Section 28 ndo inavyojieleza ndugu yangu siyo sisi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais sharti awe mwanachama kwa angalau miezi 3?

    Sheria inasema miezi mitatu kabla ya mgombea kuteuliwa list ya wanachama iwe imepelekwa kwenye tume. Siyo miezi mitatu kabla ya uchaguzi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tembea tembea:vijijini wanapiga sana kura na ni ccm

    Halafu wanafikiria wataibiwa kura. Bado sana.
  6. I

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    CCM Magufuli
  7. I

    JamiiForums Tanzania CCM mkateni Makongoro Mahanga

    Huyo alikuwa anatamba hela yake ndiyo ilimpa ubunge. Yupo na jamaa zake wasiokuwa na akili kama yeye kina Jamal wanafanya mazoezi hapo uwanjani Kimanga Primary. Hovyo sana huyo Mahanga
  8. I

    JamiiForums Tanzania Uhai wa Dr. Slaa na Lowassa ndiyo amani na mshikamano na ushindi wa UKAWA kwa sasa

    The goose is cooked
  9. I

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Suala ambalo Mbowe na mkwewe hawajaelewa ni kuwa wamekipeleka chama 0. Wamekata goodwill kwa watu wengi sana
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hata Obama alitumia hela kugharamia kugombea urais

    Huwezi kufananisha kampeni za Obama na huyu jamaa yenu anayehangaika kununua Ikulu. Michango ya Obama ipo ndani ya utaratibu wa sheria za nchi yao pamoja na caps and limits za who can contribute and how much. Pia huruhusiwi kupokea michango kwa mtu ambaye si raia. Kwa kuanzia tu basi si vibaya...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe hali tete jimboni

    Ninavyofahamu ni kuwa Mwakyembe walishamwambia hawamtaki tena siku nyingi zilizopita
  12. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sikuhitajika na Wakubwa!

    Hakuna ushahidi wowote kuwa TB Joshua alimwambia Ngoyai kuwa atakuwa rais. Na alishaacha siku nyingi safari za kwenda Lagos
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nape: Kingunge afanye anachotaka

    Huyo mmoja angepatikanaje kama si watu kukatwa?
  14. I

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Hata mimi naamini hana ujasiri wa kutoka
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa wakitia homa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    UKAWA wakimpokea Lowassa itajishushia heshima iliyopo ya kuwa kiongozi wa mapambano ya ufisadi. Wawe na Lowassa wasiwe na Lowassa, Magufuli ndiye atakayeshinda uchaguzi
Back
Top Bottom