kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
Tuko nae till the end...Mungu anakusudi na huyu mzee.Saa ya ukombozi imewadia.Misukosuko aliopitia huyu mzee ina hatima njema.Mungu sio dharimu na wala hadhihakiwi.
Kuna watu humu jf walimshauri vizuri sana hakutaka kuwasikia, na bado wanaendelea kumshauri na ushauri wenyewe ni huo wa kumtaka apumzike, afanye mambo yake tofauti na siasa lkn naona bado mzee wa Monduli kashupaza shingo, mwisho itavunjika......nimegundua washauri wake wanashinikizwa na hela ila hapa JF wanaangalia uhalisia.
Huu ndio mustakabali wake bora kwa sasa aachane na siasa; hana nguvu tena aliyokuwa nayo kabla ya mgombea rasmi kutangazwa. Angetaka kubakiza matumaini yake angefuata daraja alilowekewa na Nchimbi na wenzie. Palepale aliposikia kakatwa tu angeitisha press conference mbele ya mashabiki wake na kuchana kadi ya sisiem mbele zao na kutangaza aliye wa kwake amfuate na kuondoka zake mda huohuo kuelekea Monduli. Ule mchakato ungesitishwa ghafla na wazee wote wangeikimbia Dodoma na angekuwa na turufu ya kujadiliana; kwa sasa hana kitu tena, kakosea taimingi na imekula kwake.Kuna watu humu jf walimshauri vizuri sana hakutaka kuwasikia, na bado wanaendelea kumshauri na ushauri wenyewe ni huo wa kumtaka apumzike, afanye mambo yake tofauti na siasa lkn naona bado mzee wa Monduli kashupaza shingo, mwisho itavunjika......nimegundua washauri wake wanashinikizwa na hela ila hapa JF wanaangalia uhalisia.
Mungu ni wa Lowassa peke yake?? Kulikuwa na wagombea wengine 37 pamoja na yeye, wengine sio wa Mungu??
Au mlidanganywa na manabii wenu uchwara Gwajima na TB Joshua kuwa Lowassa atakuwa rais??
Ninyi mlimsikia wapi Mungu akisema Lowassa atakuwa rais.
Acheni kutuzingua na Lowassa wenu.
Mkuu sasa wanataka kuhamia Chadema halafu wakihamia huko waanze ngonjera zao za ''hakatwi mtu hapa'' sasa wanatafuta njia za kuishi kwa kupitia ''kwa mtia nia aliyekatwa ''mwache Mbowe na baba mkwe wake wajitie kiherehere cha kuwakaribisha wahuni wanaozomea viongozi wao na wapenda rushwa ,huo utakuwa mwanzo wa mwisho wa Chadema.Waliokuwa wanamsifia lowassa na kujitapa kuwa "hakatwi mtu hapa" mbona siwaoni tena?