Simu yako itakuwa na protector , ila protector hiyo ina nyufa nyingi upande wa juu wa kusikilizia, inakusanya uchafu wa vumbi na mafuta unapoiweka sikioni, hapo palipochafuka kuna sensor ndiyo inayosababisha ijizime, chukua njiti ya kiberiti, itafune kidogo kama mswaki, safishia kila palipo na...