Recent content by IKISU

  1. I

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Asante Mungu Amepona, Mungu kampigania mbele ya adui zake. Kutoka 14:14 Bwana atawapigania ninyi,nanyi mtanyamaza kimya.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara?

    Habarini wakuu? Eti ni Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara na ujenzi mwingine mkubwa Msaada plz.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Accounting package gani ni nzuri kutumiwa kwenye kampuni ya ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara?

    Habari wakuu naomba kuuliza eti ni accounting package ipi inafaa kutumiwa na kampuni ya ujenzi,mfano ujenzi wa reli na barabara na ujenzi mwingine mkubwa. Msaada wa haraka plz.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

  5. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

    wakuu mliopo Halmashauri mbali mbali tunaomba msaada juu ya hili wakitangaza tu kwenye hizo mbao za matangazo msisite kutuwekea humu.Asante
  6. I

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

    Na ni Halmashauri zipi zimepewa vibari vya kuajiri hizo nafasi tunaomba kwa mwenye information
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya hizo

    Jamani kwahiyo ndo ziko wazi hizo nafasi au bado azijatangwazwa na halmashauri
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Kuna maswali najiuliza kwanini mkuu wa kaya alikisifia kile kipindi cha umbea chilawadu huku akichukizwa na habali za umbea!!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Social Media reactions as President Magufuli sacks his Minister

    Lakini chanzo cha haya yote ni Madawa ya kulevya, Hebu tuludi kwenye kusudi na tusipoteze maana kwa kuibua vitu visivyo vya muhimu kama vijana wetu wanavyo angamia kwa madawa, hizi nguvu zote zingetumika kwa pamoja kutoa taarifa juu ya janga hili na dhani tungepiga hatua kubwa sana.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Duh!!! Nape ungejua ungekaa kimya tu maana hii ni shoo ya mtu mmoja.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    JPM Anafanya vizuri sana kupunguza matumizi ila kwa hili Amekosea kidogo, kwani kumwambia mtu aludishe Pesa wakati pesa zenyewe ngumu saizi zingezuiliwa kabla hazijagaiwa.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo

    Kwa kweli inasikitisha sana, kuna haja ya watafiti pindi wanapofika kwenye kijiji husika kutoa taarifa kwanza kwa uongozi wa kijiji (wenye viti wa kijiji) kwanza kabla ya kuendelea na chochote ili kuwatambulisha kwa wananchi na kupewa ushirikiano.
  13. I

    JamiiForums Tanzania 1c program

    Naomba msaada kwa mtu anae jua program ya account inaitwa 1c, au wapi naweza kupata training inatumika sana na watu wa urusi. Natanguliza shukrani zangu za pekee kwa atakaye nisaidia.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja kuhusu hili la kufoji mikutano ya kampeni za CCM

    Naona ungejadili kwanza mikutano ya Chadema inayokuhusu kabla hujajadili mikutano ya CCM isiyokuhusu.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Managing Director anastahili allowance zipi

    Asante sana mkuu Aqua kwa ufafanuzi wako mzuri, pia lakini nilikuwa napenda kuzijua hizo general.
Back
Top Bottom