Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

king of the North

Senior Member
Jul 26, 2016
102
55
9374d8bd241ebc923ebf6cf965349df3.jpg

d122270c40ace6106e57d8ed511d1434.jpg

Process Ni kwamba tunaenda kuangalia ubao wa halmashauri kama zimewekway Au Inakuaje Wakuu.Msaada Tafadhari
 
Nenda kaangalie kwenye ubao wa matangazo kwa halmashauri zilizopewa idhini ya kuajiri hizo nafasi.

Kumbuka sio halmashauri zote zinahusika na hilo zoezi la utoaji wa ajira.
 
Kwa mshahara huo ni wazi kwamba sifa ni kkk. Kusoma, kuandika na kuhesabu
Duuh kazi kweli mwaka Jana kuna jamaa aliomba kukusanya mapato ya halimashauri na degree yake sua nikajua itakuwa angalau diploma ya accountancy kwasababu itabidi aandae hata bajeti kdg kwaajili ya matumizi ya ofisi pia aandae petty cash
 
Na ni Halmashauri zipi zimepewa vibari vya kuajiri hizo nafasi tunaomba kwa mwenye information
 
wakuu mliopo Halmashauri mbali mbali tunaomba msaada juu ya hili wakitangaza tu kwenye hizo mbao za matangazo msisite kutuwekea humu.Asante
 
[QUOTE="daniel enocy, post: 21927303, member: 378448"Halimashauli nao wanaonekana hawajui chochote[/QUOTE]

Jamani sasa itakuwaje, tutapataje info kuusu hili swala, wasiwasi wangu tunaweza kuendelea kuulizana huku kumbe mambo yakawa tayali
 
[QUOTE="daniel enocy, post: 21927303, member: 378448"Halimashauli nao wanaonekana hawajui chochote

Jamani sasa itakuwaje, tutapataje info kuusu hili swala, wasiwasi wangu tunaweza kuendelea kuulizana huku kumbe mambo yakawa tayali[/QUOTE]
Mimi nna ndg yangu yeye ni DPS wa mkoa wa mbeya kanambia atanijibu this weekend
 
Jamani wenye taarifa yeyote kuhusu hizi ajira

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom