Recent content by Ikhojo

  1. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Maombi yamejibiwa vizuri acha tuendelee kuwa juu mawinguni sie.
  2. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Pamoja na kukaza ila cha moto kimewapata huyo ndo Pep hutaki unaacha ,acha tuendelea kuwa juu mawinguni.
  3. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    City mbele daima nyuma mwiko.
  4. Ikhojo

    Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

    Madini kama haya niya wachache ,vichwa vya wana siasa wengi vimejaa mawazo mgando kusifia kila jambo hata kama linahatarisha maisha ya Mtanzania.
  5. Ikhojo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kanyweni dawa inaitwa Pep.
  6. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Tena kwa msimu huu mateso yao ni makubwa wanazidi kupoteana
  7. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Na bado ,huko Tuchelewe washaanza kumuona kiazi.
  8. Ikhojo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nayo mlichukua kwa kiwango cha tundu la sindano(kubahatisha) lakini kwa uhalisia milizidiwa kwa kila kitu.
  9. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hakika kwa interval hii game ijayo tunacheza pasipo pressure kabisa hii ndo raha ya kuwa juu mawinguni.
  10. Ikhojo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa ukisikia maiti kagoma kuingizwa ndani ya jeneza ndo j'pili hakika watavunjana miguu hawa viumbe,na mwisho wa game wataambulia point 1/1.
  11. Ikhojo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamnamo team humo saa hii ni msimu wa kuangua maembe tu washapoteana kitambo.
  12. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    3 hizo kibindoni, Arsenal tunakungoja.
  13. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Kuna nyakati za furaha acha furaha iwe sehemu yetu na huu ndo mwendo wa Pep. Gari huwa linawacha mdogo mdogo namna hii.
  14. Ikhojo

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Naona kichwa kinakuwanga subiri utaona mwanaume ni yupi ? na mvulana ni yupi.
  15. Ikhojo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hahahaha aaa! Ndo tayari mwewe kashapita nakifaranga hivyo.
Back
Top Bottom