Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
.kashatua Barcelona
Pep Leo tunataka point 3 ili tuende point 9 mbele, sema naye anafanya complication nyingi wakati hazihitajiki


mkuu Leo tunachanga kete vzuri , Brentford sio wakubeza lakini ni rahisi Sana kuchukua point 3 mapema kabisa ....



nawambia tu mapema kuwa Leo watatoka na maumivu makali sanaTafuta fixture nyingine ,hii tunatembeza Moto mkali ....Mahesabu simple kabisa, mechi 3 mnazo enda kucheza kuanzia leo.
Brentford
Asenane
Chelsea
Leo ndio mnaanza kupoteana hizo game zote 3 mnapoteza




Kama hao Chelsea wenyewe kudadeki wasituzoee ,tunahasira nao ....Mahesabu simple kabisa, mechi 3 mnazo enda kucheza kuanzia leo.
Brentford
Asenane
Chelsea
Leo ndio mnaanza kupoteana hizo game zote 3 mnapoteza
Mkuu karibu ubingwaniMimi shabiki wa Guadiola since akiwa Fc Barcelona ,mpaka inafika time nafurahia mafanikio ya City kuliko timu nnayoishabikia
Next ...3 hizo kibindoni, Arsenal tunakungoja.