Recent content by Ikemefuna funa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano ya kisiasa na maandamano

    Acha kujiondoa ufahamu mkuu,. Hivi nikuulize Kuna haja gani ya kuwepo vyama vingi, wakati vinazuiwa kufanya hata mikutano!!, hivi nini mantiki ya uwepo wake!!, wakati uhai wake unakuwepo kwa kuitisha mikutano??
  2. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

    Watu kama nyie mna matatizo sana,. Hakuna kitu kinachoitwa kibali, kinachotakiwa ni taarifa kwa ajili ya kupata ulinzi basi, ndani ya masaa 48, usiongee ki kereketwa mkuu, hii nchi ni ya watanzania wote, hakuna mwenye hati miliki, vinginevyo futeni vyama vingi mueleweke.
  3. I

    JamiiForums Tanzania CV ya Saed Kubenea, Joster Mwalugumbi na Kondo Tutindaga

    Lkn jamaani, mtu amehitaji cv ya nini kumkashifu??, kuuliza cv ni mhimu, sehemu yoyote ukiomba kazi lazima uambatanishe na cv yako. Kama hakuna jibu ni bora kukaa kimya.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Bunge la 11 kuandika historia

    Haya ni maajabu ya karne ase, yaani sijui dunia itatuonaje, yetu masikio na macho.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    We wasema, pilipili usokula mkuu...........
  6. I

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

    Hakuna ukanda mbaya kama wa kurithishana, kama inavyotokea Sasa ccm. Yaani eti anatoka mzazi anakuja mwana, hatari sana.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Juma Duni kubaki CHADEMA?

    Tatizo maelezo yako yamejaa ushabiki zaidi kuliko hoja. Unaposema alienda huko kwa maslahi yake au mradi wake unamaana gani!!. Na je kwa kwanini unadhani ataachana au atarudi alikotoka??, mi nadhani hayo hayatuhusu ni juu yao wao.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wameanza kuzikana ahadi walizotuahidi watanzania

    Ujanijibu mkuu, mwenye kuelewa tafadhari. Au hakuna aloona hilo tatizo.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Juma Duni kubaki CHADEMA?

    Ccm navyowajua kama asingekuwa mwana Chama wa CHADEMA wangesha muwekea pingamizi kabla ya kampeni.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Juma Duni kubaki CHADEMA?

    Watu kama nyie ndo bado mnaamini mtu akitoka ccm basi amejichumia majanga na hivyo hatofanikiwa kwa namna yoyote. Haya mawazo yamepitwa na wakati dada, maisha ni popote.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wameanza kuzikana ahadi walizotuahidi watanzania

    Jamani hivi JF imekuwaje mbona mi nashindwa ku like??
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wameanza kuzikana ahadi walizotuahidi watanzania

    Yaani rasmu ya warioba ndo ilikuwa mwarobaini wa kila kitu,. Mahakama ni danganya toto tu na itakuwa ni matumizi Mabaya ya hela za wanyonge.
  13. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Hilo neno huwa linanikera, eti hatuwezi kumpa, kwani nyie mna hati miliki!!, hivi kama mnafikira hizo, vyama vingi vya nini Sasa.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Baba Lowassa, Sumaye na babu Kingunge sheria ni msumeno

    Mada nzuri sana mkuu, mkuki kwa nguruwe ilikuwa lakini kwa binadamu..........
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kwa mama wa kambo ananitaka kimapenzi

    Mi nakushauri jenga picha kichwani, kisha fikiria kama unaweza kumuoa. Ukiona inawezekana fanya taratibu umuoe. Kama haiwezekani muache usimguse.
Back
Top Bottom