Recent content by ikatamwa

  1. ikatamwa

    Siri ya Rais Magufuli kumpa Angellah Kairuki Wizara ya Madini

    Mnalalamika maisha magumu, na Muda wa kutafuta maisha yenu hamna ila kutwa kutafuta kuchafua watu humu kwenye mitandao tu, mtaishia hivyo hivyo wenzenu wanaingiza mkwanja tu!! Shame on you
  2. ikatamwa

    Kuteuliwa Juliana Shonza si tu body shock kwa CHADEMA, bali ni soni

    Yaani hao jamaa ni vituko vya Dunia,leo eti wanataka kushika dola! Kweli mimeamini Wonders shall never end!! Lol
  3. ikatamwa

    Ni Tanzania pekee mshahara wa Rais ni siri

    Acha uzazwa wewe!!! Kama hujui uliza usilete mambo ya taarabu humu...
  4. ikatamwa

    Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

    Ahahahaha!!! Elimu ni muhimu sana, asante Kwa kumuelimisha huyo mwenzetu [emoji3] [emoji2] [emoji12]
  5. ikatamwa

    Mchezo wa kujirusha toka angani: Muasisi wa mchezo huo Tanzania afariki baada ya kujirusha na kupata majeraha

    Acha ubishi wa kitoto wewe, huoni hilo kaburi na Jina Lake? Hujui na unabisha... Pole wee
  6. ikatamwa

    Kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Polisi wapata Video za CCTV

    Lissu ndio kapigwa, nyie humu kutwa maneno maneno tu! Watanzania bado sana jamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ikatamwa

    Taifa limechezewa sana,Bunge liunde kamati kuchunguza MV Dar es salaam,uuzwaji Nyumba za serikali

    Naona Chadomo mmeanza kupata maumivu ya Speech ya JPM Leo... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ikatamwa

    PENDEKEZO: Profesa Mruma avuliwe Uprofesa, akamatwe na kufungwa jela

    Kweli kabisa, ila Chadema watatunza Mali zetu, kama walivyo tunza Fedha za Lowasa wakiongozwa na mtaalam Mbowe! Lol Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ikatamwa

    Ushauri wa bure kwa wanawake mabonge

    Pole sana! ndio tatizo la Vibamia banaaa, ila wenyewe mitwangio wao hutwanga tuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ikatamwa

    Serikali tutafutieni wateja wa mbaazi hata tsh. 100 kwa kilo tunateseka tutauza tu

    Poleni sana jamani, ukweli mimi mwenyewe ni mfanya biashara ya mbaazi, nilikuwa Nokisafirisha kwenda India,na baadhi ya jirani zake! lakini kwa sasa wamekuwa na Mbaazi ya kutosha mpaka miaka mwili!! So kwa sasa biashara ya Mbaazi ni shida, na kama mjuavyo watanzania huwa hatutumii sana Mbaazi...
  11. ikatamwa

    Hongera Rais Magufuli kwa kuimarisha kipato cha wafanyabiashara za halali

    Povu la nini wewe?? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ikatamwa

    Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

    Na bado mlimtukana sana baba Radhi, tena matusi makubwa, na mkumbuke alimwambia mtakumbuka!! Mlimwita Legelege sasa wakati huu tutajua nani kulegea!! Ahahahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ikatamwa

    Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

    Ila hukuona Mbowe alivyo kula pesa za Ngoyae eti atampa Uraisi?? Nyani haoni kundule lol Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ikatamwa

    Tundu Lissu apingwa vikali, aambiwa asigeuze TLS kuwa chama cha siasa

    Kajikombe na wewe!! Povu la nini sasa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom