Recent content by Ikaria

  1. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  2. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

    Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama. IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa...
  3. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la visa vya watu kujitia kitanzi Kenya lazua mjadala kuhusu suala la afya ya akili

    Huku dunia ikidhiamisha siku ya hamasishisho dhidi ya kujitia kitanzi leo, takwimu kutoka kwa Idara ya takwimu nchini (KNBS) pamoja na Idara ya polisi zimeonesha kuwa takriban watu 1,576 walijitia kitanzi katika kipindi cha miaka 4 iliyopita. Shirika la kutetea haki za binadamu KNCHR limetoa...
  4. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mwalimu Mohammed Abduba Dida aliyefungwa kwa kutoa vitisho kwa mtu

    Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)? Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na kutuma vitisho. Dida amekuwa akitumikia kifungo chake katika kituo cha kurekebisha tabia cha Big Muddy...
  5. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kesi dhidi ya Kaimu IGP wa Kenya wiki ijayo

    Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli anatarajiwa kuhukumiwa kifungo Ijumaa ijayo kwa kosa la kupuuza maagizo ya Mahakama mara saba. Jaji Lawrence Mugambi ameeleza kuwa IGP amedharau mahakama kwa kukosa kufika mbele yake mara 7 kueleza kuhusu maisha ya Wakenya watatu wanaodaiwa...
  6. Ikaria

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa mbio za marathon, mzaliwa wa Kenya, Rebecca Cheptegei amethibitishwa kufariki dunia baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake Dickson Marangach. Imeripotiwa mpenzi wake alimmwagia petroli kisha kumuwasha moto kwa kutumia kiberiti.
  7. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atangaza Baraza Jipya la Mawaziri 11 na Mwanasheria Mkuu mpya

    Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini: • Waziri wa Ulinzi Adan Duale • Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
  8. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yadai uwajibikaji kutoka kwa Shirika la Ford Foundation

    Siku chache tu baada ya Rais William Ruto kulishtumu Shirika la Ford Foundation kutoka Marekani kwa kile alichokitaja kama 'kufadhili maandamano ya kupinga Serikali yake,' sasa Serikali kupitia Wizara ya masuala ya kigeni imemtaka Rais wa Ford Foundation Darren Walker, kuwajibika na kutoa...
  9. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

    Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru. Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
  10. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wakenya wameanza kumpigia debe January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya AU

    Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika(AU). Katika taarifa inayosambaa mitandaoni, Wakenya wanadai kuwa wamuzi wao...
  11. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  12. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Je, GenZ wa Tanzania wanaweza kusimama kidete kama wenzao wa Kenya?

    Not true. Nipo Nairobi muda huu na I can tell you kuwa hapa hakuana ufuasi wa mwanasiasa yeyote. Fahamu kuwa ngome kuu ya kisiasa ya Rais William Ruto iitwayo #Eldoret ilishuhudia maandamano makubwa pia. Wakenya ni wazalendo kuliko Wabongo. Hilo naomba kuwathibitishia.
  13. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Je, GenZ wa Tanzania wanaweza kusimama kidete kama wenzao wa Kenya?

    Sio Bomu la machozi. Ni harufu nzuri ya mabadiliko.
  14. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Je, GenZ wa Tanzania wanaweza kusimama kidete kama wenzao wa Kenya?

    Bila shaka ni ukweli usiopingika kuwa maandamano dhidi ya serikali ni ya kwanza ya aina yake nchini Kenya. Kwa nini? Maandamano ya kupinga mswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024 hayakuongozwa na Mwanasiasa yoyote Wala Chama chochote cha kisiasa; bali yaliratibiwa na vijana hasa wa kizazi Z kwa...
  15. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa na Polisi katika maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha 2024

    Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana. Omondi alifika nje ya geti la Bunge la Kitaifa akiwa amepanda farasi, kuiga maafisa wa polisi waliokuwa wakipiga doria kati...
Back
Top Bottom