Recent content by Ikama

  1. I

    Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Sikushangai kutokuwa na imani na Rais, kwani si unaotwa ibilisi!
  2. I

    Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Siamini kama hiyo post ni ya kweli. Kwani ni huyo huyo aliyesema gesi ya Mtwara itaifanya nchi kuwa na umeme Wa uhakika, iweje aende Ethiopia kununua tena?
  3. I

    Iringa kimenuka

    Tuwe wakweli jamani, askari hawezi kumkamata mtu eti kwa sababu ya kunyosha vidole viwili juu! Lipo kosa litakuwa limefanywa na gari hilo la nganga
  4. I

    Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Sasa akiwa Amiri jeshi atawezà kusimama paredi mwendo wa pole na Wa haraka? Àpumzike tu, nyie mnao mhangaisha mna kesi ya kujibu kwa familia yake
  5. I

    CCM ina bahati sana Mungu ameibariki

    Niseme ukweli, masha hata wananchi walimkataa ktk uchaguzi Wa 2010, ni mtu apendae kupigana tu, busara zero kabisa. Mungai alihalibu mfumo Wa elimu tz, akafuta kilimo Ufundi biashara mashuleni na physics aliunganisha na kemia hapo kuna kitu. Makongolo alichomfanyia Fred mpendazoe uchaguzi Wa...
  6. I

    HUZUNI KUU KYELA: Bye Bye Harrison Mwakyembe

    Mwakyembe jembe wewe, tatizo ni kwamba mitandao imewapa Uhuru Wa kusema mtakavyo ila kuanzia sept 1, kesho kutwa tutaheshimiana hapa mjini!
  7. I

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Apewe stahili Yake maana ni mtata sana na anajiaibisha sana
Back
Top Bottom