CCM ina bahati sana Mungu ameibariki

CCM ina bahati sana Mungu ameibariki

acha unafiki uliopakwa rangi ya ushabiki. hivi Masha, Sumaye, Mungai, Mahanga na wengineo walikichafua chama wapi? mmeshikwa pabaya ndio maana hamuishi kuweweseka

Tafakar juu ya watu gao kama jamii inawahusudu au lah siyo kila kitu ufate mkumbo au kubisha! Grow up guy....
 
Niseme ukweli, masha hata wananchi walimkataa ktk uchaguzi Wa 2010, ni mtu apendae kupigana tu, busara zero kabisa. Mungai alihalibu mfumo Wa elimu tz, akafuta kilimo Ufundi biashara mashuleni na physics aliunganisha na kemia hapo kuna kitu. Makongolo alichomfanyia Fred mpendazoe uchaguzi Wa 2010 wachache tunajua, malipo ni hapa hapa duniani maana nae amelipwa mwaka huu. Sumaye hafai kuwa kiongozi kabisaaa
 
tunataka ,mabadiliko kama wamewalea wenyewe sasa wanapiga kelele za nini waje ukawa afu watafute namna ya kuziba hiyo miayanya ya ufisadi
 
Hivi wezi wa escrow, epa, mabehewa na kivuko chakavu wapo ccm au chadema? ccm ni ileile ya mafisadi na wauza unga kama wimbo wao mpya wanavyoimba
 
Yaani sasa CCM imesharudisha ile misingi waliyoweka waasisi wake baada ya wale mafisadi kwenda to hell!
 
CCM ni bidhaa isiyolipa.

Wanatembea na msamiati uitwao ILANI kwa miaka 40 watanzania wamekuwa mafukara.
 
Endeleeni kujidanganya.Magufuli kaibariki yeye ni Mungu? Baraka anatoa Mungu pekee.
 
Miaka yote waliyoishi CCM Leo upinzani unataka kukamata wanaona wao hawataendelea kulinyonya taifa wanadai ccm mbovu, hivi miaka 38 YA LOWASSA AKIWA WAZIRI KTK WIZARA TOFAUTI NA NYAKATI TOFAUTI ASIJUE UBAYA WA CCM? KATUONGOPEA ANA LAKE JAMBO. SUMMAYE MIAKA 10 YA UWAZIRI MKU LEO CCM MBAYA KWAKE? NI MWIZI HUYOO NAYEYE. SIIPENDI CCM TENA WALA CHADEMA COZ WAO NI WAPUMBAVU NA MALOFA ZAIDI KWA TAFSIRI YA SUGU NA MKAPA. NAKWENDA KUZALIWA UPYA KAMA MZALENDO HALISI ACT Wazalendo HAKUNUKI HATA CHEMBE YA UFISADI. WELCOME YOU ALL. Utu, uzalendo NA uadilifu!!!

Hao ACT wametokea wap mkuu
 
Last edited by a moderator:
Tafakar juu ya watu gao kama jamii inawahusudu au lah siyo kila kitu ufate mkumbo au kubisha! Grow up guy....

acha unafiki usiokuwa na tija. Hivi jamii haimhususdu Sumaye?, Lowassa? nakuhurumia bure but najipa moyo kwamba ipo siku ukijitambua utaacha huo ushabiki.
 
acha unafiki usiokuwa na tija. Hivi jamii haimhususdu Sumaye?, Lowassa? nakuhurumia bure but najipa moyo kwamba ipo siku ukijitambua utaacha huo ushabiki.

Sumae ahusudiwe kwa lipi kubwa alolifanya? Epa,nyumba za serikal kuuzwa akiwa pm?ww ndo uache ushabik afu hao wanasiasa wanawatumia vibaya na kuwageuza geuza kama malofa huku wakiwa moyon na yao maslai. Wote wezi tena huyo el ndo simwamin kabisa
 
Back
Top Bottom