Recent content by ijiba

  1. ijiba

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haipigi marufuku sherehe za Simba day saa za kazi?!

    Kuna pato la Taifa litapatikana mfano makato ya uwanja,na club itapata fedha kwa hiyo ni siku ya uzalishaji [emoji106]
  2. ijiba

    JamiiForums Tanzania Copa America Brazil vs Argentina leo usiku

    Azam wanarusha?
  3. ijiba

    JamiiForums Tanzania Hii ni Taifa Stars iliyoifunga Zambia kuingia African Cup (Tumemkumbuka Peter Tino, tumemsahau Thuwein Ally)

    Mashindano ni yaleyale kasoro jina Tunaposema tunaingia Afcon mara ya pili nisahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ijiba

    JamiiForums Tanzania Magoli ya Simba kwa Stand Utd ni mepesi sana, nini kipo nyuma ya pazia?

    Na goli la simba vs yanga unalielezea VIP? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ijiba

    JamiiForums Tanzania Game ya Azam vs Simba ichunguzwe

    Unachosema ni kweli kabisa hata mechi ya Yanga vs Simba inatakiwa kuchunguzwa haiwezekan wachezaji kukosa magoli ya wazi vile!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ijiba

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Kweli Emmanuel Okwi Kutua Kaizer Chiefs.

    Dirisha la usajili halijafungwa mkuu?
  7. ijiba

    JamiiForums Tanzania TCU watoa mwongozo mpya kwa MULTIPLE APPLICANTS 2018/2019

    Nimechaguliwa UDSM kozi ya ualimu lakini walipotoa majina ya wanufaika wa mikopo jina langu halimo je wanaweza kunikumbuka raundi ya pili?au nimekosa kabisa?naomba ushauri kwa mnaofahamu utaratibu !!!
  8. ijiba

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada mwenye namba za lectures wa SUA, UDOM na UDSM

    Naomba kufahamu michango ya kujiunga chuo kikuu UDSM kuna kijana wangu amechaguliwa mwaka wa kwanza kozi ya ualimu wa sayansi Asante
  9. ijiba

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Chanel gani mkuu ?
  10. ijiba

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Sawa kiongozi!!
  11. ijiba

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Muda gani
  12. ijiba

    JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 VPL kuanzia Mwaka 2012

    Kumbe naye ni mmoja wa waathirika wa goli 5?
  13. ijiba

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliochaguliwa UDOM admission letter zipo tayari

    Na SUA vipi kiongozi?
  14. ijiba

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    Malipo ya Hostel nayo shilingi ngapi?samahani mkuu
Back
Top Bottom