Magoli ya Simba kwa Stand Utd ni mepesi sana, nini kipo nyuma ya pazia?

Mechi ambayo inabidi ichunguzwe ni dhidi ya Chura. Kwani cross ya Bocco unaona kabisa Vincent Chifupe anaukwepa mpira huku Abdalla Shaibu na G. Paul wakimwachia wazi wazi Kagere afunge kwa free header.
Timu zingine zilizofungwa na Simba at least zilijitahidi kucheza mpira.
Chura alipaki basi na kufurahia kufungwa
kimoko halafu analaumu wenzake.
Kingine kinachobidi kuchunguzwa kwanini wapenzi wa Chura wanafanya maandamano ya kusheherekea kufungwa kimoko na Simba.
Ujinga ni maradhi. Pukachaka.
 
Goli walilofungwa Chura lilikuwa zito au jepesi?
Wanaoweza kujibu ni vyura. Tuambieni kile kimoko kilikuwa kilo ngapi?
Wao wamechomekwa wanaulizia magoli ya wachovu wenzao.Msimu wa pili huu Chura hujafunga hata goli la offside dhidi ya Simba halafu unajitia kushangaa wenzako.!!
 
Jana madogo wanabaniwa dhidi ya Rambirambi fc hukupost k2. kila gem ya simba ichunguzwe na zen vipi? hamkupewa penalt ya uwongo jana japo hamna mfungaji?
Rambi rambi fc ni mikia,walilipata hilo jina baada ya kula rambirambi ya mafisango we mama,goli walilokataliwa jana alliance ndio alilofunga boco leo likakubaliwa,ni clear offside lkn yule mwehu kajifanya kubania kibendera chini
 
Na goli mlilofungwa nyie ombaomba fc na simba basi tufanye lilikuwa offside
 
1. Hizi timu mbili Simba na Yanga ni janga la taifa

2. Jana tumeshuhudia vijana wa alliance wakicheza sika safi, kufunga goli likakataliwa, kupata penalt mbili zikakataliwa.

3. Ninawashangaa mashabiki wa mikoani wanashiriki kuzihujumu timu za mikoa yao kisa simba na Yanga zishinde

4. Jambo kama hili huwezi kulikuta kwenye nchi za ulaya eti watu wanashanglia timu pinzani na nyumbani na kuizomea timu ya nyumbani?

5. Hivi nawauliza ninyi wasukuma wa Mwanza na shinyanga kama sio jitihada za stand, mbao na alliance hata hao simba na yanga mnaowachangia michango wakati watoto wenu wapo hoi wangekuja?

6. Kweli ninyi matajiri wa kanda ya ziwa mnasapoti timu ya wazaramo wakati ya za kwenu zimedhoofu?

7. Hivi nguvu mnazotumia kufungua matawi, kushona mabendera makubwa eti tawi na rock city na kuchangisha hela mnawapa hao wajanja wajanja wa dar hizo nguvu mngezipeleka mbao alliance, stand na mwadui kanda ya ziwa sii ingekuwa tishio?

8. Ninyi ndio mnawapokea maadui, mnawapeleka mpaka kwa wataalamu ( nijwa tuliiona inarushwa kutoka jukwa la njano) ili wawashinde vijana wenu?

9. Kumbe suala la kuisha kwa uzalendo hadi timu yetu ya taifa inapocheza na mataifa mengine baadhi ya watu wanawashangilia wageni limeanzia huku.
 
Hahahahahaha,mkuu umenifanya nicheke kwa sauti
Mechi ambayo inabidi ichunguzwe ni dhidi ya Chura. Kwani cross ya Bocco unaona kabisa Vincent Chifupe anaukwepa mpira huku Abdalla Shaibu na G. Paul wakimwachia wazi wazi Kagere afunge kwa free header.
Timu zingine zilizofungwa na Simba at least zilijitahidi kucheza mpira.
Chura alipaki basi na kufurahia kufungwa
kimoko halafu analaumu wenzake.
Kingine kinachobidi kuchunguzwa kwanini wapenzi wa Chura wanafanya maandamano ya kusheherekea kufungwa kimoko na Simba.
Ujinga ni maradhi. Pukachaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi kama hizi zinakera sana unatamani umweke hata ngumi mbili huyu mleta mada apate akili kidogo, Goli la pili sio offside kabisa kulikua na wachezaji wawili wa stand walikua nyuma kabisa ya John bocco, kuhusu penati kila mtu anaelewa ziliminywa mbili first half!!
Swali chochezi, al ahly tuliwanunua Tsh ngapi wakati kosi lao moja vya kwetu 60?? we ni mseng# kinoma aisee...hata tukirudiana na nyie mara 60 haki ya nani hamshindi hata moja Vilaza nyie
 
Wakati mwingine kubishana na watu kama hawa ni utaonekana ni mpumbavu. Ko wanataka kusema Stand utd ni timu bora sana kuliko Yanga?
Mana bosi na mdhamini wao Zahera alisema simba ni timu nzri yenye wachezaji wazuri ndo mana tumefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nenda takukuru ukashtaki.. mazuzu kama nyie ndio maana mnaongozwa na AKILIMALI
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Similar Discussions

Back
Top Bottom