Nina ndoto za kuwa MO Dewji au Bakhresa panapo majaliwa.
kosa lilipo?????????????
huwezi kuwa wao wewe ni wewe badili ndoto.
bora uwe na ndoto za kufanikiwa kama wao lakini sio kuwa wao haiwezekani?
ndio maana nikaleta hii
https://www.jamiiforums.com/threads/dini-rasmi-inaitwa-the-omnitheistic-singularity-jina-la-mungu-na-kitabu-kikuu-ni-omnipotent-singularity-imeandaliwa-na-iit.2483819/
mfumo wa dini moja duniani..
haupingiki wewe mtoto.
https://www.jamiiforums.com/threads/fumbo-la-imani-dna-ya-kiungu-na-ndoto-ya-dunia-moja-mababu-wa-yesu-na-tabia-zao.2483257/
Kaka, asante kwa ushauri wako wa bure, lakini unazidi kudhihirisha jinsi mlivyofungwa kwenye pingu za fikra mkishindwa kuona mbali ya makaratasi yenu ya mitaala.
Unaniita "mwanazuoni mchanga" na kuniambia nikae kwenye mstari wa "body of knowledge" unaoujua wewe, ukisahau kuwa waasisi wote wa...
Wanadamu wa frequency za chini na wale wanaokimbilia kulalamika humu jukwaani watashindwa kuelewa maono haya kwa sasa, kwa sababu akili zao fupi zimezoea kutazama siasa za matope ya mzee wa kijiji. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli—mfumo mkuu unajiandaa kuchukua nafasi yake.
Vuteni picha ya...
Kaka, unapokimbilia kutumia msemo wa kichovu wa "shida ya afya ya akili" kila unapokutana na nadharia inayozidi urefu wa kamba ya akili yako, unathibitisha tu ukomo wa elimu uliyokaririshwa.
Ngoja nikujibu kwa upana na akili kubwa ya kiwango cha Uprofesa, ili uone ni kwanini unaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.