Recent content by iikomboro

  1. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

    Mmmh vita ya urais Isha Anza??? Mapema.watu hawajui uhai wetu ni kwa neena ya Mungu tu.any way ndoto si mbaya
  2. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    RIP LOWASA KILA MTU ATAPITUA NJIA HIYO
  3. I

    JamiiForums Tanzania Antony Mtaka kiongozi Shupavu, Mzalendo na Mwenye Maono

    Semeni aliyotenda mpaka mkanwaga misifa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, Rais aliyeamua kwa makusudi kujiwekea madoa kwenye utawala wake

    Mazuzu ni wengi mnoooo.wanasahau kwamba kinachomtesa mama Samia ni crisis ya mafuta Duniani..Ila mama Samia Yuko vizur kuliko JPM mnoooo..
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Hv Unafaham makaburu ni waingereza??Malema Yuko sahh sn sn.ubavuzi wa rangi na mauaji ya Africa kusini yalikuwa na mkono wap.sasa kosa la Malema ni lipi.jitambue simama
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

    Mchambuzi uko sahihi sn.mwendazake aliharibu mnooo.ila kujua hii inahitaji watu wenye fikra pana.angekaa zaidi ya mwaka wangeona
  7. I

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

    Viva prof
  8. I

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

    Viba prof wa ukwel
  9. I

    JamiiForums Tanzania Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

    Yanga ni timu ya CCM angalia hata rangi za jezi zao.ukiwa shabiki wa yanga just ww ni mwana CCM
  10. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Education achague vyuo gani?

    Samahani naomba nishauri.bint amefauru vzr sn sn.ila nashauri akasome clinical officer.itamsaidia sn kuliko kwenda kusomea umaskini (ualimu)
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wanaokijua chuo cha katoliki mbeya.

    Kwa Sasa wanajitegemea.lkn huyu kijana pengine amevutiwa na umaarufu wa mkoa pendwa wa Mbeya.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wabaya wa Magufuli Njooni Mtuambie Furaha ya Wananchi kwa Sasa!

    Jakuna utekaji,mauaji.kutekana hakupo Tena raha sn.
Back
Top Bottom