Matatizo ya kua muongo halafukubukumbu kiduchu una ID ngapi kuna alie notice huyu ni mtanashati alipoandika "Hance ungekua mwanamke....." nikajua kajichanganya tayari
Kwahio alivosema Kwanini Tanzania want bandari mbili akitaja ya Tana na ya dar maana hakujua ya mtwara akadai apewe ya Tanga vinginevyo Anachukua kagera na kuonesha mfano wa kushambulia kile kiwanda direct ili kuonesha hana utani nayo ilikua ni dini? wafuasi wa wa dini ya haki tumieni kiungo...
No hapo ni mlima kitonga karibia kabisa na zile kona za mombo kwenda lushoto kabla hujafika daraja la mkapa mbele karibu na kibao cha mikumi ukiwa umetokea kia kuitafuta kwasadala karibu na mto Rusumo ukienda mbele kidogo unaitafuta boda ya tunduma mono wa kushoto ni chalinze.
Kwanini kila comment umeng'ang'ania maumbile ya mama yake kuna tatizo mahali kwenye ubongo wako huoni kamaunamdhalilisha mwanamke? Any way utakua na laana ya kumpiga chabo mama yako
Mkùu sio kweli RC hawaangalii pesa wanaangalia ushiriki wako katika jumuia na kanisani Refer Mzee mrema yule wa Impala na Ngurdoto Padri alikataa wake wakapanda mpaka kwa Askofu akawaambia kaanzieni ngazi ya jumuia mpaka kwa paroko mje na majibu ikabidi watafute walokole uchwara wakawapa mpunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.