Mwanamke kukaa ndani kuna raha faida nyingi kuliko hasara. Kwanza unaondoa stress za wivu, pili Malezi ya watoto, kulelewa na house girl pekee watoto wengi wanapata maadili na malezi ya angalau mzazi mmoja kuwa karibu, Tatu kero za kwenye ndoa hupungua hasa asilimia kubwa ya wanawake wanaofanya...
Kuna watu tunafikiri Tanzania kuna lugha moja tu ya kiswahili, kumbe lugha za kibantu ziko nyingi. Neno ngona lina maana tofauti na tunavyo fikiria. Kwa mfano mtu akisema neno " ****" kwa wahaya wanamaanisha "Kukusanya kitu kilicha tawanywa" lakini mtu asiyefahamu atatafsiri mengine
Tatizo watu tunashangilia tusio yajua au kucheza ngoma tusio jua ina mantiki gani. Katika mikio ambayo serikali haijawahi kuwahemea chakula Kagera ni miongoni mwao. Swala la ardhi kuwa ya kijani ni asili ya kagera, maana ardhi ya kagera ikipata mvua wiki moja inabadilika kuwa kijani, Yeye...
Nilikuwa najiuliza kwa nini shirika la umeme TANESCO wanaibiwa umeme? Nimegundua sera zao katika uendeshaji wa shirika ni mbovu sana ndio maana inafika hatua watu wanawaibia umeme.
Sasa hivi sera mpya ya shirika ukiwekewa LUKU ili ubadilishwe kwenda tariff 4 inabidi ubaki tariff 1 kwa miezi 6...
Akimaliza kupangua safu ya makatibu wakuu inabidi ahamie kwa mawaziri. Kiukweli wapo mawaziri wengine mizigo, sihui kwa kuwa hawaombe kura kwa wananchi? Jana waziri wa Kilimo, Mifugo na uvuvi alitembelea chuo cha mifugo Tengeru wanafunzi wakamsimamisha na kumuuliza hatima ya ajira. Aliwajibu...
Kweli hili zoezi la Uhakiki halikuwatendea haki watumishi, kuna baadhi ya vitu havikufikiriwa. Kuna watumishi walikuwa masomoni unakuta wanaitwa kazini kwa ajili ya uhakiki zaidi ya Mara 4, na mtumishi anatumia nauli yake. Hivi mtu anafanyia kazi kigoma na yuko masomoni Daressalaam anaathirika...
Kama anaharisha ni maziwa yanamgeuka, na ukijaribu kuangalia maziwa vizuri utaona sio mazito yako kama yana majimaji. Jitahidi kumtengenezea lishe yenye kiwango kikubwa cha protein na uache kumnyonyesha.
Kufundisha ni kipaji cha mtu sio lazima asomee ualimu. Wapo watu hawakusoma ualimu lakini wako vizuri katika ufundishaji na ku deliver material kuliko walimu wenye fani zao. Ikitokea mwajiri akajiridhisha na kipaji cha mtu ni vizuri kumtumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.