Nilikuwa najiuliza kwa nini shirika la umeme TANESCO wanaibiwa umeme? Nimegundua sera zao katika uendeshaji wa shirika ni mbovu sana ndio maana inafika hatua watu wanawaibia umeme.
Sasa hivi sera mpya ya shirika ukiwekewa LUKU ili ubadilishwe kwenda tariff 4 inabidi ubaki tariff 1 kwa miezi 6 wakiwa wana angalia trend ya matumizi yako, ukionekana unatumia chini ya units 75 utahamishiwa tariff 4, ukiwa unatumia zaidi utabakizwa hapo .
Hivi kwa akili ya kawaida, mtu atawezaje kuongeza matumizi na huku umeme kauziwa bei ghali? Kwa hiyo gharama zenyewe kuwa kubwa itamlazimu atumie kidogo ili aweze kumudu.
Ifike hatuwa TANESCO wawe na plan za biashara gharama zikiwa kubwa watumiaji watapungua na faida vilevile itapungua, maana kutakuwa na risk ya watu kulazimika kuiba umeme. Lakini wakipunguza gharama, wanunuzi watakuwa wengi (Mass sale) na faida itaongezeka mara dufu.
Hata kwa waloko tariff 4 bado unit 75 hazitoshi matumizi ya kawaida, angalau unit 100 inaweza ikatosheleza hata mtu kunyoosha nguo. Sasa hivi serikali inapiga vita ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa ambayo ni nishati inayotumiwa na wengi wetu.
Nishati pekee itakayobaki ni umeme na Gesi, ipo haja ya kupunguza gharama ya hizo nishati ili watanzania wengi waweze kutumia, vinginevyo sera ya kuzuia ukataji wa miti itafeli. Mfano: Tariff 4 ingekuwa units 400 kwa mwezi ingetosheleze watu kutumia nishati ya umeme kupikia kwa matumizi ya nyumbani.
Tufahamu kwamba faida haipatikani kwa kuuzaa huduma kwa bei ghali, faida hupatikana kwa kuwatosheleza wateja maana watenja wakitosheka utapata namba kubwa ya wateja na faida itaongezeka.