Mimi kwa akili yangu waliopitisha sheria ya madini kwa kuunga mkono na chama chao nadhani walete marekebisho ya hiyo sheria siyo kulaumu waliokuwa wakiiķataa wakati ule
Loo! Ama kweli hili zoezi naona ni mchezo wa kuigiza ina maana uwe na cheti cha kugushi ukiteuliwa kuwa waziri ndiyo basi tena mbona mama umeleta vichekesho kwani uliowasema wana misamaha ya kuhakikiwa vyeti walisoma shule zipi na kwa mfumo upi niamini kama ninavyojiaminisha viongozi wengi wa...
Polisi shughuli zao hazitafanikiwa kwa sababu si rafiki wa raia kama issue hii huyo mwenyekiti kafanya vurugu gani wakati wahusika wamekiri kwa kauli ya Kambaya basi tuamini serikali inahusika kwa suala hili na kuruhusu hata bastola kutumika kwa tukio kama lile
Kama kweli kitu kama hicho kimetokea polisi wategemee sifuri kufanikisha zoezi lao hatuendi hivyo hata wakati wa vita tulifanikiwa kwa ushirikiano na wananchi wa Uganda ila tahadhari lazima iwepo kwa sababu unakuwa hujui mwema na msaliti
Kwa hili lazima jeshi la polisi libebe lawama nasema hivyo kwa sababu kila tukio la kuuwawa kwa askari kauli za kujipanga zimekuwa ndiyo kipaumbele kwao tokea tukio la kwanza kutokea ilipaswa makachero wa idara zote wapelekwe sehemu ya tukio kwa uchunguzi wa muda mrefu yameendelea kutokea kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.