jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Kwa nini mheshimiwa huyu hajaitisha kikao maalumu na kuwaelezea wanachama wake juu ya tuhuma zilizopelekwa kwake ikiwemo tuhuma ya madawa ya kulevya na tuhuma nyingine ndogo ndogo zikiwemo za ukwepaji wa kodi?
Kwa nini Mbowe hajakanusha kwa nguvu zote juu ya tuhuma hizi(kama kuna mwenye ushahidi wa mbowe kukanusha tuhuma hizi atuwekee hapa)
Je hii haileti taharuki na sintofahamu pamoja na kupoteza imani kwa wanachama wa chadema?
Je wananchi wanamchukuliaje mbowe huyu aliyetuhumiwa?
Naona media zimejitahidi kupotezea suala hili au tuhuma hizi lakini sisi GTs lazima tuendelee kuuliza na kuhoji.