Recent content by ihorima isero

  1. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 40 akiwa padri mkuu wa kanisa ya orthodox, David Gould, kasilimu

    Naru Narudia ten"hakuna dini ya kweli "
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

    Angesimama na kusema "unanijua mimi ni nani?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

    Hivi sheria ya kiongozi asishtakiwe iliwekwa na watu gani? Iondolewe ili kiongozi aongoze kwa nidhamu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

    Wahuni ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya Africa.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

    Ni wakati wa kumlilia JPM, hata waliomchukia weka hasira pembeni, tupiganie uzalendo wetu.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

    Very sad, let us unite, we shall win.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

    Jamaa alisoma theology kweli! Ni mtu wa kukariri mistari ya Biblia tu. Hawa Kagame kwake alishawatema.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Waafrika hatuna akili?

    Tuanzie na Watanzania, hivi tuna akili kweli kulingana na katiba yetu? Mbona mambo yanaendeshwa sivyo nasi tunakaa kimya?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Waafrika hatuna akili?

    NDIYO, angalia watoto wa kichina walivyo busy kwenye maabara, Africa ni kucheza njoma za jadi. In short whites know how to use reason rather than faith. For Africa one has to believe in order to understand.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Waafrika hatuna akili?

    Ni watu wa kushangaa shangaa tu na kudharau utamaduni wetu. Angalia bara la Afrika lilivyo tajiri ila watu ni masikini. Hiyo ndio inayoonyesha kuwa hatuna akili.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

    Dunia ni kama kijiji.
Back
Top Bottom