Recent content by igwee frm anambra

  1. igwee frm anambra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

    89% ya wanaotoa ushauri humu hawajawahi kuishi na mwanamke.
  2. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa Na vidonda vya tumbo tafuta majani yanaitwa mashona nguo

    Bidens pilosa, commonly known as Black Jack, is a flowering plant in the Asteraceae family. It is native to the Americas but has spread to many tropical and subtropical regions worldwide. Here are some key points about this plant: ### Description: Appearance: It is an annual or perennial herb...
  3. igwee frm anambra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Ungesema na urefu wako futi ngapi, maana wadada wa siku hizi kigezo chao cha kwanza usiwe mfupi.
  4. igwee frm anambra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

    Mleta uzi utakuwa ni kijana mfupi sana...kiurefu na kiakili Huna confidence halafu umekolea kwa mshangazi....pole sana, ..umeshanasa, huna namna, umeshapigwa na limbwata la kuteketeza....kuchomoka hapo you need a divine intervention not otherwise. Bon voyage.
  5. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Kuna maombi ulimwenguni kote kuliombea taifa la Israel (pray for Israel)

    Mimi ni mkristo Nashauri Kijiji cha Israel kisipimane ubavu na Iran Kitafutika kwenye uso huu wa Dunia. NB. naomba kila member wa JF aitunze comment hii. .. For the future references.
  6. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Ouagadougou (Wagadugu) ni mji mkuu wa nchi ya Burkina Faso....Chato ni wilaya ya mkoa mpya wa Geita.
  7. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Hiyo sio biashara ya kuulizia humu, fanya tafiti mwenyewe.....wauza mchele hawapo JF....hata mmoja.
  8. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

    Km una hela isiyokuwa na mawazo, hakuna sehemu isiyokuwa nzuri Tanzania. Nawashauri vijana muelekeze bidii kwenye kutafuta hela na sio kupoteza muda mitandaoni... Hapo Daresalam ukikosa pesa panageuka kuwa Jehanam, tofauti na Njombe.
  9. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Mnaokunywa Pombe kwanini mnatushawishi tusiokunywa?

    Ukinywa pombe kwa kiasi responsibly ....unakuwa mtu mwenye afya njema,furaha na Amani. .. Ukinywa kupita kiasi pombe inageuka inakuwa sumu.... ni hatari sana kwa afya yako na hutokuwa mtu mwenye furaha na amani, inakugeuza unakuwa mwehu. Swali: Kiasi ni unit/chupa ngapi? Jibu; Inategemea afya...
  10. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Naomba nisikujibu hili swali mkuu, (km ni kweli) naishia kwa kusema pole kwako.. maana unaweza jikuta unazeekea na kuishia huko....maana sidhani km utaweza jichanga nauli ya kurudi home. Hiyo nchi haijawahi jielewa.
  11. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Kutafuta maisha Haiti? (km ni kweli) Pole sana.
  12. igwee frm anambra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marriage is an outdated concept

    Hata zamani ilikuwa ni lazima kuwa macho.
  13. igwee frm anambra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marriage is an outdated concept

    Ndoa _____ Sio kila mwanaume anaweza kuoa na sio kila mwanamke anaweza kuolewa"....marriage is not for everyone" kwani si kila anayeonekana mwanaume ni mwanaume & mwanamke ni mwanamke .. nisiingie in details. ..kuoa/kuolewa na kuishi kwenye ndoa yenye amani ni ndoto ya kila mwanaume na...
  14. igwee frm anambra

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    Unamanga.
Back
Top Bottom