Recent content by Ignatius31

  1. I

    JamiiForums Tanzania UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

    Not several years,its just few years kama administratiin itaendelea kukaza kama ninavyowajua
  2. I

    JamiiForums Tanzania UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

    Umeambiwa walikuwa wanapanga kwa wingi wa mvi kwenye chuo,? Moto wa udom wanaujua waajiri au wachache waliowahi kuwa kwenye interview na hizi product,wewe pigs domo without evidence,keep it up udom
  3. I

    JamiiForums Tanzania UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

    Hongera kwake kiukweli.5_8 years to come will be the leading
  4. I

    JamiiForums Tanzania UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

    Kwa takwimu zilizotoka jana,national ranking,top five,UDSM inaongoza,UDOM inafuata kutoka nafas ya tano mwaka Jana,SUA kinafuata kutoka ya pili,Mzumbe no4 kutoka ya 3 MUHAS no 5 kutoka no 4 mwaka Jana..Hizi n salamu tu kwa vyuo vikongwe kutoka kwa UDOM ambayo inasherekea mahafali ya 7 tu...
  5. I

    JamiiForums Tanzania UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

    SUA cha 67,UDOM 65 UDSM 36,mzumbe na muhimbili mia na kitu huko
  6. I

    JamiiForums Tanzania UDSM cha 32 kwa ubora Afrika na cha 2021 duniani

    From uniranking n 35 bro,s 32 kwa takwimu zilizotoka jana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hili la kurudisha walimu wa sekondari msingi ni la kitaalamu au kubana matumizi

    mwalimu mkweli Mifumo ya kutazama karibu hii ndo inayofanyaga watu wanafumuafumua taratibu zilizowekwa kwa kukurupuka, baada ya awamu myingine kuingia.japo wanakuwa washaharibu tayari kizazi fulani
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Mmh DRAG ME TO THE HELL n level myingine,nilishashindwa kuizoea
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa doctor naombeni ushauri

    Clinical office siyo daktari kijana.unakasafar bado.kaza.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Azam FC mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2018 waifunga URA kwa penalti 4-3

    Pole mkuu kwa denial
  11. I

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

    Udom inatishia usalama na hadhi ya vyuo vya watu...kumbuka udsm ilikoanzia kulikuw kubaya zaidi huenda kuliko udom
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

    Ha ha atakuwa alipigw kamba kuwa nasoma bachelor.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

    Hope unaona na kusikia kinachoendelea MNH
  14. I

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

    Akili yako ndogo jamaa yangu.hivi unamiaka mingapi umri? Hivi hujui suala LA taaluma kuingiliw na siasa n tatizo LA kitaifa?? Au huoni kinachoendelea? Muwe mnachagua vitu vya kuzungumza s kujichora
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball bet napiga pesa tu

    Nitag namimi aiseh
Back
Top Bottom