Kwa kawaida maneno haya husemwa na Padri “ alichokiunganisha Mungu mwanafamu asikitenganishe” kama padri kasema hivi kuna haja gani ya wanandoa kirudia maneno yenye muktadha ule ule
Sakramenti ya ndoa kwa kanisa katoliki ndio sakramenti inayoadhimishwa na wanandoa wenyewe hivyo kiapo kiwepo au kisipokuwepo haibadili maana ya ndoa cha msingi ni makubaliano ya wanandoa mbele ya shahidi mwakilishi wa kanisa ( padre, askofu n.k) mnaweza kwenda kanisani mkamwambia padre...
Elewa kwamba pale altareni padre na askofu wanakuwa na hadhi sawa upadre ni sacramenti na uaskofu ni kama cheo tu. Kwa hiyo misa ya mazishi inapoendeshwa na askofu au padre inabaki kuwa na hadhi ile ile.....
Simple logic ni kwamba aliyefariki ni Raisi mstaafu hivyo ana hadhi ya tofauti mbona...
Nimetoka kucheki channel ya u tube safi sana ila kuna jambo lifanyie kazi kidogo sauti yako wakati una narrate ni kama inasikika kwa chini hivi jaribu kuongeza otherwise iko poa sana jitahdi uwe unafanya na summary ya series
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.