complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 465
- 1,416
- Thread starter
- #21
Sasa mbona hapo hakuna swali!! Yaani inawezekana ulikuwa ni msinziaji mzuri wakati unahuduria hizo harusi au hukuwa unasikiliza kwa umakini kinacho endelea hapo kanisani kwa sababu zako binafsi.
Hayo maneno hayawezi kutolewa bila sababu za msingi. Na ndoa za kikatoliki bado zina nguvu ile ile! Na hata idadi ya hao wanandoa wanao achana binafsi nadhani ni ndogo sana ukilinganisha na ya wale wanao komaa mpaka mwisho.
Hivyo upotoshaji kwenye hii mada yako, kubali tu haukwepeki!
Sikiliza hiyo video Joseph Mbilinyi Mr 2 akila kiapo cha ndoa hakusema maneno ya mpaka kifo kitutenganishe