Recent content by Ignacyona

  1. I

    Je, huo nao ni ushujaa?

    ahaha!! Mpendazoe unepotea baba... inatiahuruma sana...
  2. I

    Uanzapo kujenga msikiti ni lazima ujenge na kanisa maana umeyataka mwenyewe!

    We hujui unacho kiandika.... Wakristo wamekuwa watu kufanya vitu wenyewe kwa kuchangiana na kudunduliza... sio omba omba
  3. I

    Mwigulu: Naombwa nigombee urais 2015

    Jamani hata mwigulu!!!! Haya yote kasababisha Mr Kikwete, yaan jishi nchi ilivyoongozwa kicheki-bob. Imesababisha kila mtu anajiona anaweza kuwa Rais.
  4. I

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Ongeeni yote lakini Mimi namuangalia Kikwete!! Mwezi wa kumi ni mbali sana.
  5. I

    Vijana wa CHADEMA Geita watembea kwa mguu hadi Ikulu Dar es Salaam

    Yaani hawa jamaa mwisho wao Kimara-Mwisho hata Ubungo Mataa hawavuki!! Bora hata wangekuwa hawaonyesha mlengo wao kisiasa. Lakin :peace: hawawezi!! Maccm hawawez kubali utaona kitakacho tokea!!!
  6. I

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Furaha yangu haijatimilika mpaka Mtoto Wa mkulima na wenzake wawajibishwe na kupelekwa mahakamani.Teh teh teh wapi Msalani.
  7. I

    Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Wakupime akili wewe!! Bure kabisa
  8. I

    Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Tunashindwa kutofautisha kati ya upole na uzoba. Kati ya Nchi ambayo wananchi wake hawawezi ku-react mwenye issue serious basi ni Tanzania. Yani Bure kabisa. Wakati mwingine nakatatamaa na kusema wacha wanasiasa wale tu. Pumbavu kabisa
  9. I

    Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Yani nimeshikwa na hasira ambayo sikuwahi kuipata karibuni. Ndugu zangu CCM niwahuaji kabisa wanalindana. Huwezi kuamini Yule Mwarabu pale bungeni kahairisha kikao.Pumbavu kabisa
  10. I

    Mdahalo wa Katiba uliohairishwa, sasa kufanyika 25/11/2014 katika ukumbi wa Mlimani City, Dar

    Hakuna kusimama!! Mpaka wajute kuzaliwa magamba
  11. I

    Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Aisee hapa hakuna tafiti?!?!!! Kweli Pinda kamzidi Slaa. Uwiiii!! Nadhani leo nimecheka sana. Na sijui Hawa jamaa huwa wanawahoji kina nani???
  12. I

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Hii ndo CCM, na chakushangaza Star tv wamekata mitambo yao ili tusiangalie BBC dira ya dunia. Ikiaminika imeandaa habari hii kwa ufanisi Mkubwa.Naichukia CCM
  13. I

    King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Kwa Al jazeera nadhani wauzaji wapo wengi, Lakini najua duka moja linaitwa Levi electronics maeneo ya Kariakoo mtaa wa Livingstone & Udowe au Space electronics maeneo ya Mivinjeni- Kurasini. Canalsat ningumu kidogo kupata, kuna jamaa mmoja yupo pale ambassador de France Osterbay unaweza weka...
Back
Top Bottom