Recent content by Igirimo

  1. Igirimo

    Nampenda huyu dada ila wazazi wamemkataa kisa mnyakyusa

    We unaonekana ni shoga, kijana shababy hawezi kusema mbele za watu '' mimi ni kijana msomi'' Kama sio shoga we ni mshamba kuliko watu wa Chato.
  2. Igirimo

    Usikurupuke kuoa Mbeya kama wewe nyoronyoro mtoto wa mama

    We utakuwa mtoto wa usalama Hamza
  3. Igirimo

    Waliomchoma mwalimu mshale shingoni wakioneshana ujasiri wakamatwa

    Haya ndo madhara ya kuivumulia CCM mpaka leo ingekuwa imetoka madarakani haya yasingekuwepo maana maisha yamekaza mpaka vijana wanafanya mambo ya ajabu.
  4. Igirimo

    Wanawake msiache kujamba kunako 6x6

    Mi navyojua wazanzibar peke yao ndo wanapenda mwanamke ajambe ili wapate mzuka lakini wabara hawana hayo mambo.
  5. Igirimo

    Kitu pekee kinachomfanya mwanamke asichepuke hiki hapa

    Hawa viumbe dawa yao mimi !! Mi najua dawa yao ni kuandaa gunia mbili za mkaa ili kupoteza ushahidi.
  6. Igirimo

    Kwanini Wanawake Wanene ni Wahongaji wazuri na wana roho nzuri mno kuliko wale Wanawake Fidodido au Team Kukondeana?

    Kaka umeboa unaonekana bado una utoto umeshindwa kumvumilia shame on you!! Jitafakari kama bado unastahili kuwa katika jamii hii.
  7. Igirimo

    Sipewi unyumba

    Mwanamke kama hataki husimbake mwache aende zake. Kulazimisha mapenzi ni hatari.
  8. Igirimo

    Rais Magufuli: Waliopo mahabusu kwa kesi za uhujumu uchumi, kama wapo tayari kuomba msamaha na kurejesha pesa, kama Sheria inaruhusu nashauri waachiwe

    Mimi namruhusu afanye kwangu chochote anachoweza katka biashara zangu ila swala la kutubu ni kwa Mungu. Maana ameona tumenyamaza kwa manyanyaso na chuki zote alizotufanyia kaamua hatusheke na pa kunyea maana kaona sisi maanisi aje tu.
  9. Igirimo

    Sheria magerezani

    kuinuliwa kivupi ? sijakuelewa Mkuu.
  10. Igirimo

    Sheria magerezani

    Ndugu wana jf poleni na majukumu ya kila siku. Mimi Igirimo naomba kuelimishwa. Ni kweli kuwa mkuu wa gereza ana mamlaka ya kumuachia mtu aliyehukumiwa kifungo fulani kwa vigezo atakapitia yeye au kumbadilishia adhabu ya kifungo cha nje badala ya ndani? Au mkuu wa gereza au magereza ana...
  11. Igirimo

    Tunaona kama masihara lakini "MKULIMA" anachomoa betri ya amani ya nchi

    Tuna mitihani katika kuwaelimisha watanzania wenzetu.
Back
Top Bottom