Najaribu kuitafuta true point kwenye uzi wako.Naona kama ulitaka tu tujue unalo gari, na pengine una uzoefu kupanga meeting appointments na wanawake tofauti tofauti.Kama wewe ni wa kiwango hicho bro na bado unawaita wanawake wasio na magari basi uwezo wako ni wa kuwamudu wa bodaboda japo gari...
We ndo haupo sawa kwa kushindwa kupanua mawazo.Sidhani kama ishu ya mwenye thread ni kuihusudu marekani,na siamini kwamba hatuna good leadership practices zinazoweza kuigwa.Yes,tunaweza kuwa na mengi mazuri ya kuigwa lkn tambua hawa watu weupe hawataiga simply because wamejawa na majivuno,dharau...
Hujajibu swali langu lina mantiki mkuu.Ikiwa watu wawili kati ya kumi wanakukataa hatuwezi conclude kuwa hutakiwi na watu wote.Sasa kama idadi ya wanaoandamana kumpinga ni kubwa kuliko ya wale waliomkubali (kwa dhati na kwa shingo upande) hapo tutasema kuwa Trump hatakiwi kuwa kiongozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.