Recent content by IFYENGU MBUSAYI

  1. I

    GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

    Mshana Jr HUJAFANYA HATA TAMBIKO JUU ?? TUIKOMBOE NCHI ???
  2. I

    Mbeya: Chadema Waingia Mochari kutafuta Maiti ya Mdude Nyagali, Waonyeshwa Maiti mpya zilizookotwa kuanzia Juzi, Wazikagua

    Moyo una hofu kubwa . Ni kama wingu lilotanda usiku wa manane . 😭😭😭😭 sidhani kama Bado yupo hai . EEH MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI ONYESHA NJIA HIZI HISIA ZANGU ZISIWE ZA KWELI 😭😭😭
  3. I

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Daah Asante sana, ni kwel alikua anamaanisha kweli kweli , maana yeye anasemaga n mtu wa GIZA , baada y kushidwa mahakaman amekuwa mnyonge , Ahsante kwa ushauri wako maana nilipaga kufungua kesi ya MADAI ,kwa ushauri wako wacha nikae kimia
  4. I

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kuna mtu aliwahi kunitamkia kwamba , atafanya kila jambo ili anipoteze magerezan yuko yatari kufilisika , yaani kuuza Mali zake zote kw lengo la kunipoteza , bahati nzur au mbaya Hiyo kesi ilienda police hatimae mahakamani na alishidwa , JE KWA MANENO ALIYE JITAMKIA MWENYEW KWAMBA YUKO YATARI...
  5. I

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hiyo kwel kabisa kaka , m mwenyew Kuna jamb lilikua linanipa shida sana lkn baad y kama sik 3 iv mamb yakabadilika
Back
Top Bottom