Recent content by IFRS

  1. IFRS

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huyu mtu ana watoto 3 na wake 2 na michepuko 5, na ana miradi/biashara za kusimamia za kutosha. Anapataje muda wa kuandika story 2 kwa wiki?
  2. IFRS

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Punguzeni dhambi vijana
  3. IFRS

    Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

    Samahani kwa upande wa elimu umeishia level gani?
  4. IFRS

    Kwanini Marehemu Faustine Ndugulile alienda kusoma sheria (LL.B), wakati tayari alikuwa ni Daktari (MD)?

    Ndio degree yake ya kwanza baada ya kumaliza form 6 PCM, pale pugu secondary
  5. IFRS

    Msiba wa Mafuru wa leo Karimjee sijaona mnyonge

    Maskini ana nafasi ndogo sana kwenda mbinguni. Trust me
  6. IFRS

    Hali ninayokutana nayo katika Biashara inatisha nimefunga biashara 3 nimebakiza moja inayopumulia mipira, Msaada wa kiroho unahitajika

    Mkuu kwanza Pole sana Pili; Jambo lako linatibika, ila kwasababu umeamua kutumia solution ya waganga, mimi sijui chochote kuhusu upande wa giza, ukitaka upande wa nuru niambie nikusaidie hapahapa
  7. IFRS

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Asante kwa muda wako. Story ni tamu sana
  8. IFRS

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ebu watu wa jf punguzeni njaa, mnakera sana, mtu amekwambia anakulipa, aache kuangaika mambo yake kila wakati unamtumia notification ya kumkumbusha.
  9. IFRS

    Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Mkuu biashara sio rahisi hivyo. Biashara unaanza na faida moja kwa moja haipo, Huna maarifa na hiyo biashara, hujapambana kwenye ulimwengu wa roho na kushinda, hujaanguka na kujifunza kutokana na makosa, wewe moja kwa moja faida, sio kweli
Back
Top Bottom