Personally I don't buy the idea of splitting out. Sitaki kuamini kuwa tuna uwezo wa kuendesha TZR kama nchi take a look on what is going on with Central Railway. Tuache kupeleka mambo kisiasa. Ingawaje hatuoni sababu ya kuikumbatia Zambia katika uendeshaji wa TZR, i personally don't see any way...
Tanzanians have to act wisely in the forthcoming elections. We did a life time mistake to instill this kind of regime, it was a lifetime mistake that should not be repeated. The regime is in shamble for sure, there is no one to stand for the regime not even the President. The next regime has...
Tanzanians have to act wisely in the forthcoming elections. We did a life mistake to instill this kind of regime, it was a lifetime mistake that should not be repeated. The regime is in shamble for sure, there is no one to stand for the regime not even the President. The next regime has alot to...
Tatizo la Kikwete aliingia madarakani bila kujua anakwenda ikulu kulifanyia nn Taifa. Haya ndo matokeo yake, anaondoka bila kuacha LEGACY ya maana nyuma yake. Atamkumbukwa kwa mazuri na jamaa zake wa karibu lakini kama Taifa tutamkumbuka for the difficulties and uncertainties to poor Tanzanias'...
Duh! Hili jukwaa limekwisha, nimepitia posts za wanaojiita GTs kwenye jukwaa la GTs. Nashindwa kuamini, watu hawastahili kabisa kuwa kwenye jukwaa hii, wanafanya jukwaa lionekane ni jukwaa la simple minded thinkers. Matusi, uzushi, majungu na ushenzi ufananao na huo ndo umetawala jukwaa. What a...
Bokoharam, Al Shabab, Al Quida na makundi mengine kama hayo ndo mafunzo ya Uislamu kwa mtazamo wako, sikujua. Kosa la mtu individual au kikundi haliwezi kuwa base ya judgement universally. Tutagawanyika sana lakini mwisho wa siku anayefaidika na mgawanyiko huo ni shetani. Tusikubali kutumika na...
Mind you, you started this dirty game. What Tz does is to help you in streamlining the formation of the so called coalition of willing. That's the end result of what these three countries did to Tz and Burundi, it has come back to hurt you. Take it.
Hivi kama ni kweli hawa watu hawalipi kodi ni lipi walilo nalo la kujivunia kwa taifa Lao. Kwa kweli hii cadre ina matatizo inakuwaje watu hawana hata aibu, hawajui kama kodi ndo maendeleo? Ndo maana hawana uchungu na pesa ya kodi, nina uhakika wangekuwa wanalipa kodi kungekuwa na nidhamu kubwa...
Nchi yangu jamani. For that case nadhani ingekuwa sahihi kama Tanganyika irudi kwa ajili ya maslahi ya wananchi wa Tanganyika. Nadhani kuacha serikali ya JMT kuiamulia Tanganyika tu huku Zanzibar ikiwa inajiamulia mambo yake inakuwa double standard in the eyes of waungwana.
Nadhani elimu ni bora kuliko unifomu. Hii Tanzania ni kubwa sana, kuna watu Tanzania hii hawana uhakika wa hata mlo mmoja sembuse unifomu. Mshukuruni Mungu mmezaliwa katika familia ambazo japo zina uhakika wa mlo. Hakuna anaependa kuwa na maisha duni, mazingira hayaruhusu watu kujikwamua kutoka...
Ni kweli kabisa. Kuna nchi zina bandari tu na ndo tunazitegemea zit upe misaada. Tanzania ina kila kitu kasoro uongozi makini na wenye maono. Hakuna wazalendo ktk hili Taifa. Watu hawana mpango na kuacha LEGACY katika maisha yao.
Ni aibu sana kwa nchi yenye rasilmali za thamani na adimu kama ilivyo Tanzania kuwa katika state tuliyonayo. I always ask myself why should these things be happening to Tz, huwa muda mwingine nashiwishika kufikiria hii ni laana.
Inashangaza sana taifa kuwa ktk hali mbaya namna hii lakini watu...
Sixgates, why don't you take a lil bit of time and think about poor illiterate Tanzanians. They badly need you guys calling yourselves literate, ask yourself if the move you are planning has got any tangible banefits to these poor Tanzanians. Act wisely for your nation.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.