Recent content by idtech

  1. I

    Unapenda kuvaa Kofia? Style gani Unayoipendelea?

    Niko nimevaa namba mbili naumwagilia moyo hapa. Wadau mnakaribishwa
  2. I

    Ziara ya Trump nchini China: mambo matatu umefuatilia?

    https://instagram.com/p/DYTpce1E7OR/ Baada ya kuangalia hii clip ya DT, nikacheka mwenyewe. Kweri kila mkuwa na mkubwa wake. Leo bwana Trump ndo kawa mdogo namna hiyo kwa bwana Xi, ile ego na kujimwambafy kote kwisha, kapiga goti kwa bwana Xi Jinping . Kumbuka maneno aliyokuwaga anayotoa wakati...
  3. I

    PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

    Namba 2 ndo tulichokisikia kutoka kwa tume!
  4. I

    Mkazi wa Kijiji cha Lyamrakana wilayani moshi vijijini, ajiua Kisa kubashiri (Betting)

    Wilayani vijijini ndo wilaya gani hiyo. Any way apumzike mahali anapostahili. Nadhani atakuwa amepata ajari ya ndege, naskia inawaangusha vijana wengi
  5. I

    Nina uraibu wa wanawake age go

    Wenye uvungu siku ukiwaweka doggie utakuja kufuta hiyo comment yako
  6. I

    Wadudu

    Kutoka makumbusho ya Oxford!
  7. I

    Mungu tunaomba usiruhusu Madhara yoyote kwa Dr Nchimbi

    Wauwane tu, as long as ni fisiemu kwa fisiem
  8. I

    Usimalize Mwaka 2025 Bila Kumchangia Lissu hii ni baraka yako ya mwisho kwa mwaka huu

    TZS 30,000.00 Debited from ac XX0009727 REF:Asssskizimkazi REF:06$$$&&1713374@@@-TIPS IFO ALUTE SIMON on 31-DEC-25. Keep your Password & PIN confidential.
  9. I

    PostGE2025 Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD

    Gazeti linasema kile kilichokuwa kikizunguka kichwani mwangu. MAUAJI YALIPANGWA! Watu walidhamilia kuua, haikuwa bahati mbaya
  10. I

    PostGE2025 Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD

    Ankori sjakuelewa unaposema watangaze uongo kwa sabab walitangaza uongo wa kura milion 32, unatoa hoja kwamba 10k kungekuwa na msiba kila sehem. Kama wewe lile janga halikukufikia basi usitukejeri tuliofikwa. Mie hapa jirani yangu next door mwanae walikutwa wakiwa watatu kwa mama lishe...
  11. I

    Sheikh Hemed Jalala awatakia Wakristo Heri ya Krismasi

    Hivi hao nao huwa wako Bakwata? Suni ndo bakwata?
  12. I

    Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Wambura alitangaza kwenye tv watu wote wasitoke ndani, kutakuwa na opreration maalum. Sasa hiyo operataion maalum ndo uliyozaa risasi ambazo zingine ziliwafuata watu majumban mwao
Back
Top Bottom