Habari za uzima wana jamiiforum, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,
nimehitimu shahada ya Elimu chuo kikuu cha dar es salaam, masoma ya sanaa (GEOGRAPHY NA HISTORY). Natafuta nafasi ya ufundishaji wa masomo hayo kwa level yoyote ya elimu, nipo Dar es salaam.
kwa mawasiliano, 0752463715 au...